Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,041
Hilo nakubali lakini nachoongelea zaidi kwenye update ni update ambazo huhitaji kuwa mtaalam kuzipata, unapata notification tu unaendelea. Watu wengi hawapendi kujihangaisha, ndiyo maana unaambiwa hata apps watu wengi wanapenda kutumia default apps wanazozikuta kama za sms, browser, n.k. Same reason why Google anamlipa apple asiingie kwenye search engine business because akiweka search engine yake kama ndo default kwenye browser za product zake basi watumiaji wengi watajikuta ndo wameamia huko.Hebu tuongelee updates mkuu, simu ya iphone ikikosa updates inageuka kuwa Nokia ya Tochi. Ila simu ya android inaendelea kufanya kazi.
Nitakupa mfano mwaka Jana ndio simu za Jelly bean support ya whatsapp iliisha, mfano wa simu ya Jelly Bean ni kama Samsung galaxy s2, iphone iliotoka muda mmoja na s2 ni iphone 4. Jiulize ni lini iphone 4 ilikuwa useless? Kama kumbukumbu zipo sahihi ni 2018 ama chini ya hapo.
Hivyo mkuu kama unaongelea updates kwa Jina ndio Apple wanatoa updates kwa wingi ila kama unaongelea usability kwa miaka mingi then Android inayo kubwa.
Na hapa naongelea kikawaida na assume huyo mtu ni layman, ila kama ana ujuzi kidogo ina maana anaweza weka custom rom hata hio s2 ilawa na android 11 ama 12.
Android yes hata usipo update itaendelea kwa muda lakini itakuwa nyuma kwa features nyingi unless uwe na utaalam uweze kuweka custom rom kitu ambacho majority hawafanyi.
Kwa mtu ambaye ni layman na anataka kwenda na wakati, basi itabidi abadili simu kila mara. Kwa mfano, mimi siwezi kununua Samsung s8 kwasababu haiwezi kupata android 12 unless nitumie custom rom. Ni afadhali nikanunue simu ya midrange ambayo itapata update ya android 12.