Kwanini kampuni nyingi za teknolojia zinamuogopa Apple

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,750
Reaction score
37,405
Kampuni nyingi zina jaribu kutoa aina mpya za teknolojia ambazo inabidi kusubiri au kuchukua kila mda lakini zimekuwa zikianguka kutokana na haraka haraka za hapa na pale.
  • Mfano kampuni nyingi zilikuja na mfumo smart phone za kila aina .apple alipotoa smart phone yake wote wakafata mtindo wake.
  • Mfano kampuni zilikuja na mfumo wa kamera ila apple alipotoa kamera basi wote nao wakafata.
  • Mfano mfumo wa kushare nao hivyo hivyo.
  • Mfano mwengine mambo ya kiusalama kama nywila na facesecurity hapa apple kawaweza sana.
Kuna habari zinazo sema apple alitaka kutoa search engine ila google aliogopa na kila mwaka umlipa pesa kustop hiyo project
 
Apple alidhan atamfunika google kwenye youtube alipoanzisha itunes wapi. Apple walikosea sana kumuweka shoga Tim Cook kuwa CEO wao. Hovyo kabisa na niliapa sinunui chochote kinachotokana na apple.
YouTube na iTunes ni vitu viwili tofauti kabisa chief! YouTube wana YouTube Music ndo kama iTunes.
 
Kabisa aseeh GT. Nakachukia Sana shoga Tim Cook halafu kanalamba mshahara wa hatarii karibu na dollars million 200 kwa mwaka. Iyo ni kama barabara ya Kimara to Kibaha lane 8 mara tatu na nusuau tuseme kutoka Kibaha hadi chalinze lane 8.

Kale kashoga Tim Cook ni kafreemason kalikokubuhu
😊😅😅😅😅😂😆 dah tim cook kaumaliza mwendo
 
Hata mi nlisikiaga marekani wanamlipaga mjapani mabilioni ya dola kila mwaka kwasababu ya yale mabom ya nuclear
 
Apple washawai kusema "Apple is more of a service company than technology company" Apple hawawekezi sana kwenye innovation kama Google, Samsung, IBM, Lenovo etc. Wao husubiri hata miaka 10 wakitoa kitu ni kitu kweli, ukweli ni kwamba mara chache sana apple wanatoa boko na wakiachia kitu wengine hufuata.

Mfano face unlock Samsung walianza kitambo nadhani na note 3 2013 uko ilikua inatumia camera lakini haikua salama na effective, Apple wakaja na Face ID 2017 kwenye Iphone X na ilikua salama na matata, Google na wengine wakaiga.

Kitu kingine apple wamejizatiti kwenye kulinda brand, kwa kila namna. Apple hawafanyi sale hata siku moja hii inafanya product zao ku maintain value sokoni, kuteka akili za watu ndo usiseme. Ila Google kila mwaka wanafanya sale ya Google Pixel wanauwa sana brand.
 
Apple alidhan atamfunika google kwenye youtube alipoanzisha itunes wapi. Apple walikosea sana kumuweka shoga Tim Cook kuwa CEO wao. Hovyo kabisa na niliapa sinunui chochote kinachotokana na apple.
Walikosea wapi wakati chini ya Tim Cook ndio wakawa the first trillion dollar company.

Sahizi wnanathamani kushinda ukicombine mapato yote Africa.

Tumchukie ushoga wake ila interms of performance apple ipo mbali sana
 
Apple walichofanikiwa zaidi kushinda kampuni wanazoshindana ni kutengeneza makondoo.

Yaani leo apple wanaweza kutengeneza simu kama Nokia ya tochi nyuma wakiweka logo yao tu basi itanunuliwa kama njugu na kondoo wake ambao kwao appple ni alama ya ujanja, trend, utajiri na ufahari
 
Kama uanfahamu kampuni ya apple inauza logo yake tu.. basi nakupatia pole kwa hilo.. kwa kuwa kondooo mkamilifu hao wengine ulio wataja hawajakamilika
 
Ukiwaelewa Vizuri Apple na Strategy zao huwezi kuja hapa kichwakichwa na kutoa Maoni ya Kishabiki zaidi kuliko uhalisia. Apple ndio kampuni pekee ya Simu na OS ambayo ukinunua simu leo utakuwa na uwezo wa kupata Support yao kwa miaka zaidi ya 7 mbele! Hili wengi hawalioni. Mfamo mtu anaetumia iPhone 7 na iPhone 13 wote wanaenjoy latest updates za mwaka 2022! Legacy aliyoiacha Steve Jobs pale ni Moto wa kuotea Mbali
 
APPLE ni msichana/mwanamke yaani yule jamaa alifata na kutengeneza APPLE kwa muundo na mfumo wa mwanamke- sababu) wewe unadhani kuna mwanaume anapindua kwa mwanamke MKUU.. usijifikilishe sana
 
Apple walichofanikiwa zaidi kushinda kampuni wanazoshindana ni kutengeneza makondoo.

Yaani leo apple wanaweza kutengeneza simu kama Nokia ya tochi nyuma wakiweka logo yao tu basi itanunuliwa kama njugu na kondoo wake ambao kwao appple ni alama ya ujanja, trend, utajiri na ufahari
Siyo kwamba wanatengeneza makondoo bali anawafunga watu kwenye ecosystem yake. Yani ukianza kutumia bidhaa anakufunga kiasi kwamba hutopata tena kile unachopata ukitoka.

Mfano ukitumia iphone ukawa na airtags, jinsi zinavyofanya kazi ukiwa na iphone ni tofauti kabisa na utakapotumia airtags ukiwa na android.

Bado kuna imessages. Kwa marekani imessages ni big deal kama umesikia issue ya blue and green bubbles. Yani kwa Marekani ni big deal ndiyo maana Google anajaribu kuiforce apple isupport RCS kwenye imessages ili hata mwenye android akituma message kwa mwenye iphone iende na features kama za whatsapp na mwenye iphone akituma message kwa android iwe hivyo. Lakini apple hataki maana ni selling point yake, vijana hata wasio na iphones wanahamia iphone huko marekani coz ya hiyo blue bubble ili waende sawa na wenzao.

Ecosystem, iphone, imac na services zao nyingine ambazo mtu anapata kwa kutumia vifaa vya apple mtu akishaizoea ni ngumu kuhama. Mtu anajua nikiwa na vifaa vyangu byote signed in with the same icloud ninaweza kuaccess kila kitu kutoka kwenye kifaa chochote iwe computer, ipad, au iphone.

Customer service, apple wako quick kudeal na issues zinazotokea kwenye vifaa vyao kama bugs, ikitokea any bug apple faster watatoa update ya kuifix kwa devices zote mara moja kitu ambacho kwa android ni vigumu maana unadeal na hundreds of manufacturers and millions of device versions.

Pia simu za apple zinakula update za ios kwa miaka mingi sana kuliko android. We fikiria iphone 6s ina zaidi ya miaka 6 na imekula update ya ios 15.

Ana features ambazo ni usable kuliko mapambo. Makampuni mengi ya simu yana tabia ya kuweka features kwenye simu ambazo mtu ataitumia siku za mwanzon kama show off baadae hatozitumia tena coz siyo usable.

Intergration, saaa hapa ndo kaua, kwasasa anamanufacture chip zake ikiwa na maana vifaa vyake vinazidi kuwa powerful na kufanya kazi kwa pamoja zaidi. Chip za apple arr always the best kwenye industry, kuanzia bionic za iphone na sasa chip zao za m1, na m2 ambazo zinakuwa kwenye imac na ipad ni shida tupu.

Apple yuko makini sana katika impelementation ya vitu na ni game changer.

Unaona sasa makampuni mengi yameanza kuhaagaika kuanza tumia chip za arm kwenye PC baada ya mafanikio ya m1. Siyo kwamba ndiye kaanza microsoft alishafanya hiki kwenye PC na tablet za windows rtm lakini haikufanikiwa.

Ila kafanya apple imefanikiwa sana na kumshinda intel katika vipimo vingi vya performance sasa kila kampuni inajaribu.
 
kampuni nyingi zina jaribu kutoa aina mpya za teknolojia ambazo inabidi kusubiri au kuchukua kila mda lakini zimekuwa zikianguka kutokana na haraka haraka za hapa na pale.

*mfano kampuni nyingi zilikuja na mfumo smart phone za kila aina .apple alipotoa smart phone yake wote wakafata mtindo wake.
*mfano kampuni zilikuja na mfumo wa kamera ila apple alipotoa kamera basi wote nao wakafata.
*mfano mfumo wa kushare nao hivo hivo.
*mfano mwengine mambo ya kiusalama kama nywila na facesecurity hapa apple kawaweza sana.

kuna habari zinazo sema apple alitaka kutoa search engine ila google aliogopa na kila mwaka umlipa pesa kustop hiyo project
Gap ipo kwenye iOS ya Iphone na hardware ila sio design maake kuna simu ni nzuri sana kwenye layout design ila tatixo ni Operating system Yaani android Ina weakness nyingi Sana na ubora wa hardware.
Ila google wana SIRI, VR,AR na powerful search engine google duuh na pia wanaanza kurudi na Google pixel nadhani mbele cyberwars zitakuwa live kama taarifa ya habari 🤣🤣🤣🤣
 
Siyo kwamba wanatengeneza makondoo bali anawafunga watu kwenye ecosystem yake. Yani ukianza kutumia bidhaa anakufunga kiasi kwamba hutopata tena kile unachopata ukitoka.

Mfano ukitumia iphone ukawa na airtags, jinsi zinavyofanya kazi ukiwa na iphone ni tofauti kabisa na utakapotumia airtags ukiwa na android.

Bado kuna imessages. Kwa marekani imessages ni big deal kama umesikia issue ya blue and green bubbles. Yani kwa Marekani ni big deal ndiyo maana Google anajaribu kuiforce apple isupport RCS kwenye imessages ili hata mwenye android akituma message kwa mwenye iphone iende na features kama za whatsapp na mwenye iphone akituma message kwa android iwe hivyo. Lakini apple hataki maana ni selling point yake, vijana hata wasio na iphones wanahamia iphone huko marekani coz ya hiyo blue bubble ili waende sawa na wenzao.

Ecosystem, iphone, imac na services zao nyingine ambazo mtu anapata kwa kutumia vifaa vya apple mtu akishaizoea ni ngumu kuhama. Mtu anajua nikiwa na vifaa vyangu byote signed in with the same icloud ninaweza kuaccess kila kitu kutoka kwenye kifaa chochote iwe computer, ipad, au iphone.

Customer service, apple wako quick kudeal na issues zinazotokea kwenye vifaa vyao kama bugs, ikitokea any bug apple faster watatoa update ya kuifix kwa devices zote mara moja kitu ambacho kwa android ni vigumu maana unadeal na hundreds of manufacturers and millions of device versions.

Pia simu za apple zinakula update za ios kwa miaka mingi sana kuliko android. We fikiria iphone 6s ina zaidi ya miaka 6 na imekula update ya ios 15.

Ana features ambazo ni usable kuliko mapambo. Makampuni mengi ya simu yana tabia ya kuweka features kwenye simu ambazo mtu ataitumia siku za mwanzon kama show off baadae hatozitumia tena coz siyo usable.

Intergration, saaa hapa ndo kaua, kwasasa anamanufacture chip zake ikiwa na maana vifaa vyake vinazidi kuwa powerful na kufanya kazi kwa pamoja zaidi. Chip za apple arr always the best kwenye industry, kuanzia bionic za iphone na sasa chip zao za m1, na m2 ambazo zinakuwa kwenye imac na ipad ni shida tupu.

Apple yuko makini sana katika impelementation ya vitu na ni game changer.

Unaona sasa makampuni mengi yameanza kuhaagaika kuanza tumia chip za arm kwenye PC baada ya mafanikio ya m1. Siyo kwamba ndiye kaanza microsoft alishafanya hiki kwenye PC na tablet za windows rtm lakini haikufanikiwa.

Ila kafanya apple imefanikiwa sana na kumshinda intel katika vipimo vingi vya performance sasa kila kampuni inajaribu.
Hebu tuongelee updates mkuu, simu ya iphone ikikosa updates inageuka kuwa Nokia ya Tochi. Ila simu ya android inaendelea kufanya kazi.

Nitakupa mfano mwaka Jana ndio simu za Jelly bean support ya whatsapp iliisha, mfano wa simu ya Jelly Bean ni kama Samsung galaxy s2, iphone iliotoka muda mmoja na s2 ni iphone 4. Jiulize ni lini iphone 4 ilikuwa useless? Kama kumbukumbu zipo sahihi ni 2018 ama chini ya hapo.

Hivyo mkuu kama unaongelea updates kwa Jina ndio Apple wanatoa updates kwa wingi ila kama unaongelea usability kwa miaka mingi then Android inayo kubwa.

Na hapa naongelea kikawaida na assume huyo mtu ni layman, ila kama ana ujuzi kidogo ina maana anaweza weka custom rom hata hio s2 ilawa na android 11 ama 12.
 
Hilo nakubali lakini nachoongelea zaidi kwenye update ni update ambazo huhitaji kuwa mtaalam kuzipata, unapata notification tu unaendelea. Watu wengi hawapendi kujihangaisha, ndiyo maana unaambiwa hata apps watu wengi wanapenda kutumia default apps wanazozikuta kama za sms, browser, n.k. Same reason why Google anamlipa apple asiingie kwenye search engine business because akiweka search engine yake kama ndo default kwenye browser za product zake basi watumiaji wengi watajikuta ndo wameamia huko.
Android yes hata usipo update itaendelea kwa muda lakini itakuwa nyuma kwa features nyingi unless uwe na utaalam uweze kuweka custom rom kitu ambacho majority hawafanyi.
Kwa mtu ambaye ni layman na anataka kwenda na wakati, basi itabidi abadili simu kila mara. Kwa mfano, mimi siwezi kununua Samsung s8 kwasababu haiwezi kupata android 12 unless nitumie custom rom. Ni afadhali nikanunue simu ya midrange ambayo itapata update ya android 12.
 
Back
Top Bottom