Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,351
Macbook za mwaka jana wamerudisha ports.APPLE bwana ni gereza la mandondocha
sasa hizi macbook zao mpya zenye chip zao hazina port ya USB ya kawaida yaan kupata USB mpk utumie hiki kidude sasa huu si utumwa yaan bora wangeweka hata USB port 1 tu
View attachment 2103944
ina tu hivyo vidude tu wili tu kimoja chaji kimoja ndo hvyo tena dahView attachment 2103945