mzee idadi ya watu ni kizingizio tu kinachopendwa,idadi ya watu china enzi za 1800-1900 ilikuwa ndogo ukilinganisha na ilivyo hivi sasa lakini cha ajabu uchumi wao unazidi kukua,nigeria nayo ndo yenye idadi kubwa ya watu kwa nchi za afrika na uchumi wao pia umekuwa,bado hatujafikia iwezo waku exaust resources tulizonazo,tatizo liko kwenye mipango,kwa mfano dar es salaam kama ingalikuwa imepangwa na kujengwa vizuri mji mzima na kukawa na mipango endelevu ingeweza kabisa kumudu idadi ya waliopo na zaidi,lakini mji wenyewe umekaa hovyohovyo,barabara mbovu,ujenzi wa kiholela lazima kutokee mlundikano