Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
vipi china hawakuwahi kuzaliana sana? india vipi?
Unajua ni kwa nini leo hii Uchina wamefikia hapo walipo? Ni kwa sababu mwaka 1979 Serikali ya Uchina ilianzisha kitu walichokiita one child policy ambapo hakuna Mchina aliyeruhusiwa kuwa na mtoto zaidi ya mmoja, na ndiyo maana leo hii Umaskini umepungua tena sana Uchina, hata India wanadili na population control sasa hivi ingawaje hawajafankiwa sana!
Hivyo bila ya uzazi wa mpango umaskini kuondoka au hata kupungua sahau!