Kwanini Kagame anaogopwa

Kwanini Kagame anaogopwa

Bora Kagame anapiga kazi kwa ajili ya nchi yake uchumi unasonga mbele pamoja na limited resources alizo nazo, kuliko kiongozi asiyejua hata starehe akiamini watu wanaokula raha ni wezi na uchumi wa nchi yake unadorora Mabenki yanafirisika soko la hisa linaporomoka huku nchi ikiwa katika woga wa ajabu
 
hujui, sisonje anazijua starehe balaa, sema alichelewa kuja mjini
 
Fungua link hii uone jinsi kagame alivyo katili na anavyo penda starehe, pia asivyo jali shida za wengine,

Moja ya walinzi na dereva anaelezea

Nimetuma link baada ya page kuzuia content usizikopi.

Paul Kagame Rwanda President Wealth - African Millionaires and Entrepreneurs

Kuwa MWANGALIFU SANA NA MASUALA YAHUSUYO RWANDA, WANYARWANDA NA HASA HASA RAIS PAUL KAGAME. NAOMBA HILI LIWE ONYO KALI KWAKO NA KWA WALE WOTE MNAOIANGALIA RWANDA NA RAIS KAGAME KWA JICHO LA CHUKI / HUSUDA. TUMEWAVUMILIA VYA KUTOSHA NA SASA TUMEWACHOKA!
 
Utatupeleka kwenye kimbari au, halafu hatuogopi sema tu tunakuheshimu
 
Anaogopwa na viongozi wenzake waoga,mbona jk alikua anampa ngeu tu.

Kama alimpiga ' ngeu ' kwanini JK aliwatuma akina Mzee Mwandosya, Butiku na baadae Mzee Mkapa kwenda Kigali kuzungumza na Rais Kagame ili yaishe? Ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Jaribuni basi ' kutuchokonoa ' tena Rwanda mkipate mnachokitafuta ili mtuheshimu vizuri. Hamfanyi Kazi ili muondokane na ' umasikini ' wenu uliowajaa hadi katika ' Kope ' zenu za macho kazi kutwa kuizungumzia tu nchi ya Rwanda, Wanyarwanda na Rais wetu Mpendwa Paul Kagame.

Chezeeni kote ila siyo Republic of Rwanda.
 
Utatupeleka kwenye kimbari au, halafu hatuogopi sema tu tunakuheshimu

Na huwezi kumuheshimu Mtu kama humuogopi na hili tunalijua kuwa Watanzania mnatuogopa mno Wanyarwanda na mnaiogopa sana nchi ya Rwanda iliyo chini ya Kiongozi Jemedari na Shujaa wa Mapinduzi na mleta Maendeleo chanya na Mzalendo wa ukweli Rais Paul Kagame.
 
Wewe ndio uliwasindikiza au kuwapokea airport hao uliowataja au kupenda sifa tu,wewe na wahutu wenzako ndio mumuogope kwa jinsi anavyowanyoosha na tena usipende kumlinganisha JK na vitu kijingajinga,ukome

Kwahiyo unata nikupe faida hapa au? Narudia tena huku nikijigamba kabisa kwa kusema kuwa nenda kamuulize huyo JK wako aliwatuma nini akina Mzee Mark Mwandosya, Mzee Joseph Butiku na Rais Mstaafu Mkapa kwenda kutafuta ' suluhu ' na Kagame jijini Kigali mwaka 2015? Acha kutaka ' kushindana ' na Mimi kwani Wewe katika ' game ' bado ni Mtoto mdogo sana.
 
Waafrika chuki na kutopendana ni kikwazo saana sidhani kama kuna haja ya kutukanana na kudhalilishana.

Mwalimu nyerere alishasema afrika ni moja na waafrika wote ni ndugu zangu..kwanini tusipendane waafrika bila kujalisha kabila, dini, utaifa?

Ndio maana huwa naamini tatizo la mwafrika ni mwafrika mwenzake wala sio mzungu maana akija mzungu tayari anakuta pana mwanya wa kuingiza propaganda zake chafu.
 
Kama alimpiga ' ngeu ' kwanini JK aliwatuma akina Mzee Mwandosya, Butiku na baadae Mzee Mkapa kwenda Kigali kuzungumza na Rais Kagame ili yaishe? Ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Jaribuni basi ' kutuchokonoa ' tena Rwanda mkipate mnachokitafuta ili mtuheshimu vizuri. Hamfanyi Kazi ili muondokane na ' umasikini ' wenu uliowajaa hadi katika ' Kope ' zenu za macho kazi kutwa kuizungumzia tu nchi ya Rwanda, Wanyarwanda na Rais wetu Mpendwa Paul Kagame.

Chezeeni kote ila siyo Republic of Rwanda.
Ficha upumbavu wako nani asiyejua Rwanda wewe mmejazana hapa Tanzania na hamna uraia kila siku mnakuja kuomba uraia hadi nashangaa huko mnakokusifia mbona mnapakimbia.

Hivi kati nilienda Mwanza na Arusha maombi ya wanyarwanda ni mengi sana. Unajua Rwanda kama India. India ni masikini sijawahi kuona duniani ila ukisikia kwenye vyombo vya habari utajua nika USA ila nenda ukaone umasikini wao!

Rwanda ni Kigali basi, the rest same like bush.
 
Back
Top Bottom