Kwanini Kagame anaogopwa

Tumechoshwa na habari za kagame. Kama ni starehe hapa Afrika hakuna wakumcheka mwenzie nenda kwa mswati kashangae kila mwezi anapewa bikra wakula nae raha. Na taifa lake nj masikini wa kutupwa.
 
Ukiwa nje ya sehenu yoyote ile utasikia mengi sana Nilikuwa nasikia tu Nigeria ina uchumi mkubwa ni ya pili barani kufika kule ni shida tu kama tulivyo wengine
 
aaaah wapi rwanda uchumi unakua si kama huku
Uku pesa yake ikikosa Purchasing Power. Mafuta ya diesel yanuzwa kwa Rf 1000( kama Tshs 2750/=) kwa lita wakati Tz ni Tshs 1900/=
Usidanyike kwa u-strongness wa hivi pesa za kiafrica.They are Nothing.
 
Uku pesa yake ikikosa Purchasing Power. Mafuta ya diesel yanuzwa kwa Rf 1000( kama Tshs 2750/=) kwa lita wakati Tz ni Tshs 1900/=
Usidanyike kwa u-strongness wa hivi pesa za kiafrica.They are Nothing.

Kwa hali ya kawaida si rahisi bei ya mafuta Rwanda kuwa chini ya bei ya Tanzania sababu ya additional cost za transportation. Hicho hakiwezi kuwa kipimo sawa cha purchasing power.
 
Kwa hali ya kawaida si rahisi bei ya mafuta Rwanda kuwa chini ya bei ya Tanzania sababu ya additional cost za transportation. Hicho hakiwezi kuwa kipimo sawa cha purchasing power.
wanadamu ambao hawajawahi kuishi Rwanda, huwa nawashangaa wanaposema uchumi wa Rwanda umekuwa au maisha mazuri, kule jamaa kabana kama alivyofanya magufuli hivi, mfukoni watu hawana hela kabisa, ila wanatembea kwenye barabara safi zilizofagiliwa. kuna faida gani sasa hapo?
 
Rwanda kuna maendeleo gani? Tatizo huwa tunaishia pale town kisha tunatoa hitimisho kuwa Rwanda imeendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom