Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,508
- 911,249
- Thread starter
-
- #21
some time kikwete is ok on substantial matters, give him credits please
vipi makaburu mbona huwaongelei.......................au kwa vile huhona mapesa kibao kupata hiyo ardhi?.............angalia mbona mashimo yote ya madini tumemilikisha wazungu......................au ni kheri mzungu akitunyonya kulikoni tukinyonywa na wamatumbi wenzetu?????????????????
Wazungu gani hao'wale walioigawa sudan?nani kakuambia sisi waafrica tunaweza kuungana?
Mbona tanganyika na znz matatizo kibao tangu tulipoungana?je tukiingiza wakenya na watusi itakuwaje?
Aisee bora kaburu atunyonye lakini sio mkenya kuja na makanyagio yake na kujifanya anajua kuliko mimi
kwann unang'ang'ania 2gawe ardì ye2 kwa manyang'au? 2 be honest hata kama wewe ni mtanzania wa kuzaliwa wazazi wako wamepata uraia wa maombi
nilizaliwa mtupu na nitarudi ardhini mtupu............................na wajukuu wangu vivyo hivyo............................hivi kwa nini mnawashupalia sana wakenya na huku wakija wzungu na wachina ardhi mnawagawia kama njugu?
lengo la EAC ni kuwa na shirikisho moja la kisiasa...............................sasa kama hatuwezi situjitoe tu.......................mkenya kama ni tatizo labda kwa vile hatawahonga warasimu serikalini kama wale wazungu na wachina wanavyowahonga..................hakuna masilahi ya taifa kwa kujikita kwenye mipaka iliyowekwa na mkoloni.......................UNITED STATES OF AFRICA..............is the only way katika kumaliza umasikini hapa nchini............................mwisho Ardhi tuliikuta na mali ya Mwenyezi Mungu na tuaiacha kwa sababu siyo yetu sasa ngebe hizi zatoka wapi?????????????????????
Wale viongozi wa EAC wanachuki binafsi dhidi ya Jk kwasababu Tanzania imekataa baadhi ya mambo kuratibiwa katika shitikisho la Afrika Mashariki kama ardhi kwahiyo wameghafirika na kususia sherehe nasi tunasema hatuzihitaji hizo nchi we can move alone or with other countries like Zambia, Mozambique and Congo Kinshasa
Unajua hatuwezi kuingia kwenye shirikisho bila kufanya wanachama tuwe kitu kimoja tutaungana vipi na taifa kama la Kenya ambapo mtu anaporwa urais kwa sababu ni mjaluo? Uganda rais Museveni anaamini bila yeye nchi haiend kwahiyo kabadili katiba kutawala milele? Au Kagame pale Rwanda anavyowaweka ndani wapinzani na kuendesha nchi kikabe akisingizia mauaji ya halaiki hatopenda yatokee tena? Afadhali Burundi wana demokrasia kama yetu kwa sasa lakini Kenya waache ukabila kwanza, Uganda Museveni aondoke na kuachia mtu mwingine madaraka na asiwe mwanae Kanali Muhozi na Kagame aruhusu Rias wa zamani Pastory Bizimungu, Waziri Mkuu wa zamani Faustine Twagiramungu wafanye siasa na awaondoe kizuizini
Ruta, I beg to differ.....
Kwa swala la ardhi unachanganya habari....ardhi yetu ni mali ya umma tunakuwa leased kuimiliki... Kama Mungu alitupa hii ardhi then kuna sababu kwa nini alitupatia..,.. Kwamba tupo huru haimanishi tuishi kwa uholela and if you believe what God gives you is for everyone, then I would love to know how you manage your properties..
Kwenye hili la EAC woga wa JK ktk kufanya maamuz is working to our advantage.. Lets go for the EAC only after putting our house in order!
Have a blessed sunday.
kama mtusi kutoka rwanda na mwenzake kutoka burundi wanashindwa kuungana sembuse sisi na hayo manyang'au?not easy bro
Nakumbuka hili suala liliposhika kasi sana Tanzania iliwaambia Jamaa waendelee na Muungano wao bila kutushirikisha kwa kuwa hatujawa tayari, siku tukiwa tayari tutajiunga.. Sasa najiuliza ni kwa nini hawakukubali kuendelea bila sisi? Ni kwa nini wanaendelea kutusubiri sisi? Ni kwa nini wanatulaumu kwamba tunakwamisha Muungano ilhali tuliwapa go ahead wakaikataa? Kuna haja gani kukubali ardhi yetu iingizwe kwenye miliki ya EAC ilhali hatuko tayari kwa hilo? Ina maana Umuhimu wa Tanzania kwenye EAC ni ardhi tu?
Kwa hili naunga mkono msimamo wa JK....
Sababu kubwa ni Kilaza
BIG point, at last................................lakini ugumu huo wasababishwa na nini? wakati wao ndani ya EAC wapo tayari kuungana?
It is a NO TO EAC. wazungu na kujipanga kwao kote jumuia yao imefeli, seuze akina sie na mafisi wetu Magamba, totalistic regimes za akina Kagame na m7, na puppets wa west hawa nanyang'auz. Rutabaga nafikiri wewe ndo upo out of touch.waache waendelee kumdharau JK Maana hiyo ndo salama yetu wanyonge.