Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,530
- 167,215
Wadau nimesikitika sana kwa kitendo cha baba rizi 1 kutohudhuria mazishishi ya wanajeshi walio kufa sudani... Hatimae amekwenda kampala,,hii ni jinsi gani inaonesha jeshi letu halithaminiwi
Hapa imekaaje wadau
Ndo maana hata huko aliko enda kapokelewa na waziri