Hapa nilipenda saana ungekua umenipa insight ya kua mara
ngapi umejiunga.... kwamba was it a BAN ilosababisha ujiunge
upya December? au tu kama Mentor alivyosema kua multiple IDs
sababu ni mkongwe i believe nitajijunza kitu....
Thank you for sharing...
mmmmhhhhh
haya bwana..
Dada Asha naona unataka ma-mod wanifanye homework kuzitafuta! mimi pia nlikua na multiple Id's koz ya inspiration za kina Mwanakijiji et al..wao walikua wanajisifu kuwa nazo nyingi na hawakamatwi na ma-mdo, nikaona isiweshida...na mimi nikaanza!MODS: msijali..wala zisikumbuki majina...sizitumii tena..lol!
Hii yenyewe nimeibadili majina kama mara 4 ivi...kwanza ilikuwa, ebbynature...nkaona itanifichua my realname kirahisi kwa m2 anayenijua, nikabadili to nature, nikaona hailipi, nikaenda COMPAQ coz laptop yangu ya kwanza ilikua compaq...baadaye nikatafakari...nikawa nataka jina permanent ambalo nitajivunia kuitwa hivyo, jina ambalo m2 ukilisoma tu, unaweza ukapata picha ya nilivyo (or atleast, ninavyotaka kuonekana), nikatafakari kwa kina na mapama nikapata jina hili MENTOR...i was a student mentor back at Uni kwanzia my second semester mpaka namaliza! I loved it and I still do it even at work today... That is the name I chose to stick wit! Halafu kuna mtu ameongelea music, nakumbuka those days nikiwa chuo...naingia online naanza kustream ma bongo fleva, zilipendwa na injili...jamaniiiiiiiii gud old days...btw, wat hapenned to it!?? ni copyright laws ama!??VIVA JF...
Mentor hili suala i believe Mods wanalitambua na siku zinavyozidi
kuenda naona kua ni common knowledge kua hili suala la multiple
IDs ni kwa saana... Ilinifurahisha wewe ndo wa kwanza ku admit hilo
I believe hata mods wanatakiwa wawe proud of you... kua ni mkweli.
Na mimi wanifanye mod sio!??lol Btw, wat r the procedures za kuwa moderator jamani?? kuna jukwaa moja specifically ningependa kupewa umod...silitaji ili nikiwekwa msijenifuata na silaha za jadi!
I genuinely like the name you chose to stick with, plus the Avatar you
have chosen it had given me a picture which just mentioning hizo past
majina makes me want to blur my vision..lol... Ndo maana nilikua
nakurusha so that members see how truthful you are!
basi basi...sahau nlichosema kuhusu past majina, may ur idea of me forever remain positive...jus as i think of u...mpaka honestly, truthfully, sincerelly, natamani kuonana na wewe face2face...f u dont mind! U luk like someone anayependa kufuatilia how people are doing, kiufupi, "concerned/caring"..na hiyo ni quality nzuri ya rafiki mwema..Have a nice day Mentor...
basi basi...sahau nlichosema kuhusu past majina, may ur idea of me forever remain positive...jus as i think of u...mpaka honestly, truthfully, sincerelly, natamani kuonana na wewe face2face...f u dont mind! U luk like someone anayependa kufuatilia how people are doing, kiufupi, "concerned/caring"..na hiyo ni quality nzuri ya rafiki mwema..
Na wewe pia uwe na siku njema dadangu mpendwa...kip smiling!!! though sijui tutaonaje na kakitambaa chao usoni!!! Ivi huwa nafanyaje kazi na mikono yote imekishkilia, wenzio wanatumiaga vipini,lol! jus jokng...mob love.
Thank you for the bolded compliment... na appreciate for sijawahi
wasiliana nawe hivyo kind of surprised you have picked that up!
hahaha... I know you are joking about the pin... hio ndo problem
ya Avatar, you can read a person all wrong!.... Enways
Mentor mob love to you too...
Thank you.
Kumbe na wewe ni alumnus wa YA? Daaaah aisee...
I normally believe avatar ya m2 inabeba picha fulani ya mtu mwenyewe yukoje! u don't just put a picture...
mimi ningependa nikusome in the right way..ebu nidadavulie ya kwako inataka kutoa picha gani!??
Halafu ni makusudi ama hujaona..umeruka hii part..lol!!! "mpaka honestly, truthfully, sincerelly, natamani kuonana na wewe face2face...f u dont mind! "
Niliijua JF siku nyingi ila nilikuwa sipitii huko kabisa, coz hata FB sipo sijui niko antisocial or! sasa nikapata kidate kimoja makini sana ver smart guy akawa kila wakati anazungumzia JF ,coz mshikaji ana upeo mkubwa sana nikajiunga nione post zake ingawa mpaka leo sijui ID yake nikalowea na post za wengi niliowakuta humu. Umezungumzia kumake friends unafanyaje humu kufanya hivyo? nieleweshe kidogo
Hapa nilipenda saana ungekua umenipa insight ya kua mara
ngapi umejiunga.... kwamba was it a BAN ilosababisha ujiunge
upya December? au tu kama Mentor alivyosema kua multiple IDs
sababu ni mkongwe i believe nitajijunza kitu....
Thank you for sharing...
At first ckuw na Id nilikuwa naingia kama guest user,i dnt have multiple id's..najifunza sana hapa.
Kaizer dear hoping he will be back for you...
Kwanza nilikutana na Jf wakati nagoole habari za freemasons,google ikaniletea thread iliyokua imeandikwa"freemason inside out!Baada ya hapo ndipo baada ya uchaguzi mkuu jamaa yangu akaniambia kuhusu jf,nikafungua website yake nikaikagu nikajisajili!Nafurahia kuwa mwana JF!
Am done baby..id u know whay I mean....am waiting.........:tonguez:
I wish you would have seen my first Avatar, it defines me mo' than hii hapa ever will...
I don't take well to compliments Mentor ndo maana niliruka... hope you don't mind
but i really do appreciate you defining me so... Kuhusu kuonana ni uvumilivu naamini
wana JF siku moja tukijipanga fresh twaweza onana wooote... looking forward to the day.