Penye wengi kuna mengi,ukisikiliza sana ya walimwengu hutofanya lolote maishani mwako,huwezi kumridhisha kila mtu,fuata nafsi yako ipendavyo,
Bora wali maharage kuliko walimwengu.
Nilikuwa nafuatilia ule Uzi Wa nyumba kule Nyaishozi, ajabu kila nyumba inaonekana mbaya, wajameni yaani kila MTU kule ana nyumba nzuri. Nikachoooka kabisa. JF kichaka chenye fisi na mbweha, lakini Tembo na Simba wapo poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kulia mkuu pitia kale ka uzi kakutupia msosi unaokula aisee !Nilikuwa nafuatilia ule Uzi Wa nyumba kule Nyaishozi, ajabu kila nyumba inaonekana mbaya, wajameni yaani kila MTU kule ana nyumba nzuri. Nikachoooka kabisa. JF kichaka chenye fisi na mbweha, lakini Tembo na Simba wapo poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza njaa iniume, ili wakati nakula naupitia.Ukitaka kulia mkuu pitia kale ka uzi kakutupia msosi unaokula aisee !
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaTokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa
1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality
2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?
3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "
3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "
4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"
5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"
6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi
7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo, au unafuga mende humo? "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jf inatabaka fulani hivi ambalo ndiyo dominate yaani limetawala. Hili tabaka ni lile ambalo halikosi malazi, mavazi na chakula. Wengi wa hawa wamesomasoma na siyo kuwa wanamaisha ya juu, hasha ila wanayajua maisha mazuri kwa kuyasoma au kuona kwa watu wengine.Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa
1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality
2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?
3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "
3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "
4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"
5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"
6.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mitandaoni hasa hizi social media maskini wanaishi Kama matajiri, na matajiri wanaishi Kama maskini.Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa
1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality
2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?
3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "
3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "
4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"
5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"
6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi
7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu
8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo sioni bugger, juice, nyama, mayai, au unafuga mende humo? "
Sent using Jamii Forums mobile app
KABISA KUNA WATU WANA MAISHA MAGUMU HUMU MBWA LKN SASA KUJIKWEZA MIMI HUWA NAWAJIBU UTUMBO TU UKIJIKWEZA KWENYE UZI WANGU
Sent using Jamii Forums mobile app