Kwanini JF kila mtu hujifanya maisha bora?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
3,436
2,000
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality

2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?

3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "

3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "

4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"

5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"

6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi

7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu

8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo sioni bugger, juice, nyama, mayai, au unafuga mende humo? "

9. Kila mtu hujifanya msomi humu, ukisema unasoma CBE ,St joseph, utawaskia duh mkuu mimi nmehitimu UDSM pale nakusikitikia sana kukosa kusoma UDSM pale

10.Ukiweka tangazo la tatizo kuwa una kibamia kila mtu atajifanya yeye ana mrungu, watakuponda hatariSent using Jamii Forums mobile app
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
5,786
2,000

charrote

JF-Expert Member
Aug 11, 2017
910
1,000
Nilikuwa nafuatilia ule Uzi Wa nyumba kule Nyaishozi, ajabu kila nyumba inaonekana mbaya, wajameni yaani kila MTU kule ana nyumba nzuri. Nikachoooka kabisa. JF kichaka chenye fisi na mbweha, lakini Tembo na Simba wapo poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kulia mkuu pitia kale ka uzi kakutupia msosi unaokula aisee !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040
2,000
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality

2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?

3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "

3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "

4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"

5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"

6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi

7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
 
hazard Don

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
881
1,000
Hahaaa

8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo, au unafuga mende humo? "
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,838
2,000
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality

2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?

3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "

3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "

4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"

5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"

6.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jf inatabaka fulani hivi ambalo ndiyo dominate yaani limetawala. Hili tabaka ni lile ambalo halikosi malazi, mavazi na chakula. Wengi wa hawa wamesomasoma na siyo kuwa wanamaisha ya juu, hasha ila wanayajua maisha mazuri kwa kuyasoma au kuona kwa watu wengine.

Why am saying this ? Ukienda ktk nyuzi za matangazo ya kazi unakuta views ni nyingi kuliko reply, na reply na maswali huwa ktk id mpya. Hii inaana watu hawapendi kujulikana kama hawana kazi.

Nb
Pia tupo akina siye tunaganga ganga njaa huku tukijaribu kuendana na hali za hawa dominate class wa hapa JF
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,268
2,000
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality

2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?

3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "

3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "

4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"

5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"

6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi

7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu

8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo sioni bugger, juice, nyama, mayai, au unafuga mende humo? "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mitandaoni hasa hizi social media maskini wanaishi Kama matajiri, na matajiri wanaishi Kama maskini.
Tengeneza maisha yako usifuate ya watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom