Kwanini JF kila mtu hujifanya maisha bora?

Niliwahi kupost tatizo langu fulani wapo walionifariji ila wengi walinambia nina madeni niyalipe kwanza kama nilikopa kwao vile.
 
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality

2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?

3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "

3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "

4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"

5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"

6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi

7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu

8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo sioni bugger, juice, nyama, mayai, au unafuga mende humo? "

9. Kila mtu hujifanya msomi humu, ukisema unasoma CBE ,St joseph, utawaskia duh mkuu mimi nmehitimu UDSM pale nakusikitikia sana kukosa kusoma UDSM pale

10.Ukiweka tangazo la tatizo kuwa una kibamia kila mtu atajifanya yeye ana mrungu, watakuponda hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo broo mimi mlinzi,hapa getini kwa Kanjibahi na kila wakati nasema hivyo .Sasa ukisema kila. MTU unanionea, Leo kwa Mara ya kwanza ndiyo nimepata siti kwenye Daladala kutoka hapa Tandale kuja Upanga.Halafu muwe mnatukumbuka walinzi wenu hapa getini hata makombo ya msosi huwa yanatusaidia kufika saa 18:00 .Najua huwa unatuona hali inavyokwaga mbaya mida ya saa15:00 had I mwili unalegea.
 
Tokea nijiunge jf 2015 sijawahi ona mtandao wenye watu wenye tambo na majivuno kama hapa

1. Ukiweka tangazo la tv au friji likiwa ndani kwako watakuhoji mbona nyumba au chumba chako ni lowa quality

2. Ukilalamika mabasi ya mwendokasi ni shida utasikia " mkuu siununue hata ka vits chako uachane na hiyo shida,"?

3.Ukiweka tangazo la kuuza nyumba huwa hawachelewi kukwambia "unauza Gofu hilo mkuu au ni kiwanja ndio kinauzwa hapo"? , "wengine utawasikia mbona picha yenyewe umeipiga kiuwizi wizi au nyumba sio yako mkuu? "

3.Ukiweka tangazo la kupangisha nyumba utawasikia " humo hata mifugo yangu siiweki sembuse mimi? "

4. Ukiweka picha yako mwenyewe utawasikia "mkuu vipi hiyo mikucha alafu uwe unapaka hata mafuta mkuu"

5. Ukiweka tangazo la gari utawasikia "Hiyo gari yako hata gari ya demu wangu nzuri, " wengine utwasikia "kauze screpa tu mkuu"

6.Ukiweka tangazo unaumwa hata mafua hapa watakwambia ushaathirika kachukuwe dozi

7. Ukiweta tangazo humu unauza pikipiki ya boxer 150, utaskia mtu anakuja kwa mbwembwe mkuu chukua milioni 3 hiyo, ukimfuata DM kashakula kona ,ilimradi kutafuta sifa tu

8.Ukiweka picha ya friji lako ukiwa umelifungua utawasikia "mkuu mbona friji halina kitu ndani hilo sioni bugger, juice, nyama, mayai, au unafuga mende humo? "

9. Kila mtu hujifanya msomi humu, ukisema unasoma CBE ,St joseph, utawaskia duh mkuu mimi nmehitimu UDSM pale nakusikitikia sana kukosa kusoma UDSM pale

10.Ukiweka tangazo la tatizo kuwa una kibamia kila mtu atajifanya yeye ana mrungu, watakuponda hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukilalamikia "kila mtu JF" watakuuliza, kila mtu na wewe ukiwemo?
 
Back
Top Bottom