Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,139
- 6,083
😂😂😂 hatariView attachment 3326232
mimi ndio mmiliki wa hizo app za kudownload kibunda.
😂😂😂 hatariView attachment 3326232
mimi ndio mmiliki wa hizo app za kudownload kibunda.
kwahio karibu sana u download fedha hata za kigeni ukitaka ni wewe tu😎😂😂😂 hatari
Asante sana lakini za namna hiyo sizitaki 😎kwahio karibu sana u download fedha hata za kigeni ukitaka ni wewe tu😎
😂 mbona hazina shida.Asante sana lakini za namna hiyo sizitaki 😎
Tumia tu mwenyewe 🙌😂 mbona hazina shida.
Tunaongezea utajiri wetu mkuu au huko mtaani kwenu huwasikilizi wale sijui Nini speaker kuhusu kuheshimu hadi sh.100Si tumekubaliana wanajeiefu wote ni matajiri
Watakavyoanza kukudhalilisha kwenye magroup pia utupe taarifa mkuuNawashangaa sana. Kuna Hela Huku halafu nyie mmelala tu hadi mnataka kujiua sababu ya ugumu wa maisha.
Sajili Line Mpya kabisa kisha itumie ku download HelaView attachment 3326218View attachment 3326219
Umenikumbusha Mgombea Urais miaka ya 1995 Mzee Mapesa Cheyo🤣 hivi yupo?Unamjaza eeh 😅
Tupe siri Mkuu.Kuna siri kubwa sana ipo ndani ya hizi App za mikopo siku mtakapoijua mtakimbia, mm sipo nilipoifahamu nililewa siku tatu kwa depression
Me hapanaTumia tu mwenyewe 🙌
Hatari sana 😂😂Umenikumbusha Mgombea Urais miaka ya 1995 Mzee Mapesa Cheyo🤣
😄mtego huuMe hapana
Tegua kula hela hizooo 😊😄mtego huu
Sawa 🚶🏼♀️Tegua kula hela hizooo 😊
Kaeni mbali na hizo App kwasababu wana Access file za simu yako picha, documents, audio, namba, meseji, call wanazitumia kwenye uhalifu waoTupe siri Mkuu.
kinyonge sanaSawa 🚶🏼♀️
😄😄 vipi unataka kuunga msafara?kinyonge sana
so bit,😄😄 vipi unataka kuunga msafara?