Kwanini jeshi la marekani limeanza doria kusini mwa bahari ya china?

Hivi kwann China na yeye asianzishe operation maalumu kama hiyo kule Mexico upande unaopakana na USA ili kumpunguza kasi jamaa
Inampasa awe na ishawishi mkubwa sana kwa mexico na pia awe na pesa, technolojia nzuri sana. Tunaposema China ni mpinzani wa marekani ni kwa sababu ndiye wa Pili kiuchumi.

Lakini ameachwa mbali sana katika namba halisi. Ndo maana unaweza kuwa wa Pili darasani kwa lower second wakati wa kwanza ana first class.

China anajua marekani ni kitu gani! Ebu yeye ajaribu kusogeza meli zake kwenye mipaka tu ya maji ya marekani kama aturudi salama.
 
Km China anajiamin nae apeleke meli vita na nyambizi zake pwani ya Amerka ,ili tuone manic zaidi. Mchina aache kabisa kunung'unika nae atumie nguvu kma Amerika.
 
jeshi la marekani kitengo cha maji(us navy seal)limeanzisha operesheni maalamu kusini mwa china na meli yao ya kivita na yenye teknolojia ya hali ya juu(uss carl vinsion).
lengo la doria hii ni lipi?
8e09ad204111416ca59532126724d6cc.jpg

Swali lako la katika Headline yako ya ' Uzi ' ni sawa na kuuliza hivi ni Kwanini Mwanaume hupenda kubeba ' Condom ' tu mfukoni hata kama haitumii?
 
China wapeleke doria gulf of mexico kuilinda cuba na venezuela tuone USA watasemaje. Uchokozi mwengine uko wazi kabisa.,

Marekani walikuja juu baada ta vita ya dunia 1945., 70 years on wameishiwa mbinu za kubaki juu., sasa wanatafuta chokochoko itokee vita nyengine ili wabaki wao juu.

Katika hali ya kawaida kiuchumi uchumi wa marekani utapigw around na wachina chini ya miaka 20. Miaka 50 ijayo marekani itakuwa kama former British Empire. Another has been. Unless wajipange na kufanikisha cita ya kufilisi kila mtu na wao washinde.
 
Back
Top Bottom