Kwanini jeshi la marekani limeanza doria kusini mwa bahari ya china?

Nyoooo huo uwezo wa katisha maji Kama wao anao putin tu nasi wala mbwa fani hawa ni wizi na janja janja
 
labda lakini china wao wamemuonya marekani asiptishe hyo meli yake kwan nao hawatakua wavumlvu.au ndo ubabe wa Trump
Sasa mkuu jamaa ndo wameshaanza hiyo OP na hiyo Aircraft carrier Vinsion ndio inatawala huku ikiwa imezungukwa na destroyers na submarine chini ya maji mbona hatujasikia tena tamko lolote la China kuhusu hiko kitendo cha Marekani?
 
Unadhani ni jambo rahisi.....
Ni jambo linalotaka uwekezaji wa muda na hela za kutosha.....
China wamesema 2018 wanampango wa kuanza kutengeneza hizo aircraft carrier tatu kwaajili ya ulinzi wa hilo eneo la Southern China. Alafu unakuta watu wanakuja na kumlinganisha China na Marekani kwa nguvu kijeshi. What a hilarious!!
 
Afisa wa China aliulizwa kuhusu uwezekano wa vita akasema pande zote 2 zitaumia hakuna atakayeshinda kivyovyote USA madhara atapata japo kiuwezo kampita China ,kuhusu vita hawawezi kupigana halafu juzi Trump kampigia simu rais Xi na kamuandikia barua ya kuzika tofauti na kufanya kazi kwa ushirikiano
 
Yeah kwa mpaka sasa hakuna vita ambayo haitakuwa na madhara kwa washiriki wote kwa hizi sophisticated weapons ambazo mataifa karibia yote matajiri wanazo especially Mass destructive weapons.
Ni vyema sana viongozi wa dunia wanapolitambua hili kuwa vita yoyote kati yao itakuwa na madhara makubwa sana, kikichobaki njia za kidiplomasia na kuzika utofauti ndicho pekee kitakachoihakikishia hii dunia amani. Vinginevyo tutajikaribishia kiama chetu wenyewe mapema sana
 
Km China anajiamin nae apeleke meli vita na nyambizi zake pwani ya Amerka ,ili tuone manic zaidi. Mchina aache kabisa kunung'unika nae atumie nguvu kma Amerika.
Mchina yuko mbioni kuimarisha uchumi wake napia lengo la China ni kua superpower bara la Asia, ila pingamizi ni mmarekani na india
 
Relaxe,mmarekani hajaanza leo kupatrol kule,na anajua akimisbehave lazima mchina atazamisha hiyo carrier group
 
jeshi la marekani kitengo cha maji(us navy seal)limeanzisha operesheni maalamu kusini mwa china na meli yao ya kivita na yenye teknolojia ya hali ya juu(uss carl vinsion).
lengo la doria hii ni lipi?
8e09ad204111416ca59532126724d6cc.jpg
Jeshi la maji la marekani ndilo huitwa Nacy seal!!??
 
Back
Top Bottom