gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,583
Sikatai ushauri wako lakini nina wasiwasi kama wewe binafsi unaweza kufanya hivyo.Hama mtaa! Ukienda mtaa mpya hakuna atakaye jua kuwa uliacha shule...
Sikatai ushauri wako lakini nina wasiwasi kama wewe binafsi unaweza kufanya hivyo.Hama mtaa! Ukienda mtaa mpya hakuna atakaye jua kuwa uliacha shule...
Si asomee tu kozi za biashara vitabu aaa!Sina hakika kama atapata maarifa.Kama mkuu alivyosema hapo juu. Kwa vile umeamua kufanya business, then hakuna shaka kuwa itakubidi utafute mbinu za kubobea katika hiyo kazi yako. Nasema hivyo ili ujipange vizuri uwe na business endelevu. Soma hivyo vitabu vya business, fuatilia watu waliofanikiwa katika biashara na usijaribu kufanya illegal business.
Siwezi kukaa kimya hapo namba tatu!.Upo ushahidi humuhumu JF watu walikuwa wako mbioni na wakaokolewa.Usiogope usiogopex777 usiogope
Katika vitu ambavyo havihitaji kuomba ushauri
1.kuacha shule
2. Kuacha Mke/Mme
3. Kujinyonga
Elewa kwamba upo sahihi Kwa ulichokichagua
Ni kwel mkuu if your career depends on schooling you dont have a choice but only school,as for me that is very deffer what i need now is to put more effort to archieve my dreams its the right time now.Wisdom ni elimu iliyo juu zaidi ya elimu ya shule, nakupongeza kwa uamuzi wako kwangu nafahamu "ubaya" wa hii mifumo kuanzia elimu, afya, na mifumo mingi tu inayoendeshwa duniani naomba ufahamu mambo mawili makubwa kuhusu mifumo 1.Hamna mfumo unaoweza kusuite matakwa(interests) za kila mtu 2.Mifumo huwa compromised(hukorokochorewa).
Kwa case yako vya kuzingatia ni kuwa hai, tengeneza hali nzuri kiuchumi-fedha huja kwa kutengeneza thamani yaani value na si kwa "masters", chagua muelekeo wako maishani what is it you want to accomplish in your life?, in fact sifahamu sababu za withdrawal yako kwenye mfumo wa elimu lakini nasupport na endapo ntafahamu sababu zako na malengo yako naweza nikajudge.
Mkuu asante kwa ushauri lakini najua kuna elimu tofauti na shule.
Usiogope usiogopex777 usiogope
Katika vitu ambavyo havihitaji kuomba ushauri
1.kuacha shule
2. Kuacha Mke/Mme
3. Kujinyonga
Elewa kwamba upo sahihi Kwa ulichokichagua
wenzio tunatamani sana turudi utoto ili turudi shule ,wewe unajisifu kuacha shule.Mkuu asante kwa ushauri lakini najua kuna elimu tofauti na shule.