Kwanini jamii inatudharau tulioacha shule?

Kwanini jamii inatudharau tulioacha shule?

alieacha shule anajua matumizi ya neno LECTUR?
Wakuu,

Kwanza salamu ziwafikie,Mimi ni si mwenyeji humu JF nimekuwa nikitumia kama guest kwa muda kidogo.

Wakuu jambo linalonshangaza nimekuwa gumzo hapa mtaa kwetu baada ya kuamua kuachana na shule (secondary level) kwa kuwa sina mpango wa kuajiriwa na ni kama miaka sita au saba hadi kumaliza elimu yangu ukiangalia umri unaenda na nataka kuwa free na mishe zangu na skuli inabana sana muda.

So huku mtaa kila nikipita lecture hazishi mara oh utajutia, mara elimu haina mwisho n.k

Hivi wakuu kwanini hisia zetu zisiheshimiwe sisi tulioacha shule?
 
Vitabu vizur vimeandikwa kwa lugha ya kigeni ( English) wabongo wanacopy tu ..."
 
Usiogope usiogopex777 usiogope
Katika vitu ambavyo havihitaji kuomba ushauri
1.kuacha shule
2. Kuacha Mke/Mme
3. Kujinyonga
Elewa kwamba upo sahihi Kwa ulichokichagua
 
Ccm si ndo wanasema sifa ni kujua kusoma na kuandika tu. Wewe tekeleza Sera za chama chenu hakuna tatizo.
 
tatzo wabongo wengi tunaish kwa mazoea kwamba lazma uende shule ndo ufanikiwe, wapo walioenda shule na bdo elim yao haijawasaidia, cha msingi tambua mipango yako nn hasa unataka na ukifanyie kaz, hatuez wote kwenda shule bana kila mtu ana destiny yake
 
Wakuu,

Kwanza salamu ziwafikie,Mimi ni si mwenyeji humu JF nimekuwa nikitumia kama guest kwa muda kidogo.

Wakuu jambo linalonshangaza nimekuwa gumzo hapa mtaa kwetu baada ya kuamua kuachana na shule (secondary level) kwa kuwa sina mpango wa kuajiriwa na ni kama miaka sita au saba hadi kumaliza elimu yangu ukiangalia umri unaenda na nataka kuwa free na mishe zangu na skuli inabana sana muda.

So huku mtaa kila nikipita lecture hazishi mara oh utajutia, mara elimu haina mwisho n.k

Hivi wakuu kwanini hisia zetu zisiheshimiwe sisi tulioacha shule?
Na kwa nn uliacha?
Uvivu wako tuu
 
tena wewe tunakuhesabia kama muhaini wa hii inchi...wewe ndio tunakutegemea ulikomboe taifa hili kupitia elimu utakayoipata wewe..na kizazi chako wewe unaacha shule? nchi hii ina uhaba wa wataalamu..mfano madaktari na wataalam mbalimbali we unakimbilia kuacha?....ningekujua ningekuzibua makofi
 
Mkuu asante kwa ushauri lakini najua kuna elimu tofauti na shule.
Wisdom ni elimu iliyo juu zaidi ya elimu ya shule, nakupongeza kwa uamuzi wako kwangu nafahamu "ubaya" wa hii mifumo kuanzia elimu, afya, na mifumo mingi tu inayoendeshwa duniani naomba ufahamu mambo mawili makubwa kuhusu mifumo 1.Hamna mfumo unaoweza kusuite matakwa(interests) za kila mtu 2.Mifumo huwa compromised(hukorokochorewa).
Kwa case yako vya kuzingatia ni kuwa hai, tengeneza hali nzuri kiuchumi-fedha huja kwa kutengeneza thamani yaani value na si kwa "masters", chagua muelekeo wako maishani what is it you want to accomplish in your life?, in fact sifahamu sababu za withdrawal yako kwenye mfumo wa elimu lakini nasupport na endapo ntafahamu sababu zako na malengo yako naweza nikajudge.School doesn't necessarily test your intelligence it tests your memory and the difference between school and life is that In school you are taught a lesson then given a test but in life you are given -a test that teaches you a lesson.

FYI: If you are interested in any career that involves schooling such as aeronautics and medicine you better get right back to the system otherwise follow my advise.
 
Rudi shule. Dunia inabadirika! Kwa upande mwingine wanasema matajiri wengi duniani hawana elimu kibwa kiviiile. Labda na wewe komaa utakuwa tajiri
 
Wakuu,

Kwanza salamu ziwafikie,Mimi ni si mwenyeji humu JF nimekuwa nikitumia kama guest kwa muda kidogo.

Wakuu jambo linalonshangaza nimekuwa gumzo hapa mtaa kwetu baada ya kuamua kuachana na shule (secondary level) kwa kuwa sina mpango wa kuajiriwa na ni kama miaka sita au saba hadi kumaliza elimu yangu ukiangalia umri unaenda na nataka kuwa free na mishe zangu na skuli inabana sana muda.

So huku mtaa kila nikipita lecture hazishi mara oh utajutia, mara elimu haina mwisho n.k

Hivi wakuu kwanini hisia zetu zisiheshimiwe sisi tulioacha shule?
Kwanza hadi sasa naamini bado unaendelea kuenda shule.
Sema tu kwamba darasani ndio hauja hudhuria...
 
tena wewe tunakuhesabia kama muhaini wa hii inchi...wewe ndio tunakutegemea ulikomboe taifa hili kupitia elimu utakayoipata wewe..na kizazi chako wewe unaacha shule? nchi hii ina uhaba wa wataalamu..mfano madaktari na wataalam mbalimbali we unakimbilia kuacha?....ningekujua ningekuzibua makofi
Kwanza nisamehe sana mkuu ila najua duniani tunaishi kwa kutegemeana hatuwezi kwenda shule wote we unadhani dunia ingekuwaje wote tukikimbialia shulen?
 
Wisdom ni elimu iliyo juu zaidi ya elimu ya shule, nakupongeza kwa uamuzi wako kwangu nafahamu "ubaya" wa hii mifumo kuanzia elimu, afya, na mifumo mingi tu inayoendeshwa duniani naomba ufahamu mambo mawili makubwa kuhusu mifumo 1.Hamna mfumo unaoweza kusuite matakwa(interests) za kila mtu 2.Mifumo huwa compromised(hukorokochorewa).
Kwa case yako vya kuzingatia ni kuwa hai, tengeneza hali nzuri kiuchumi-fedha huja kwa kutengeneza thamani yaani value na si kwa "masters", chagua muelekeo wako maishani what is it you want to accomplish in your life?, in fact sifahamu sababu za withdrawal yako kwenye mfumo wa elimu lakini nasupport na endapo ntafahamu sababu zako na malengo yako naweza nikajudge.School doesn't necessarily test your intelligence it tests your memory and the difference between school and life is that In school you are taught a lesson then given a
Thanks kwa ushaur mkuu but my career doesnt depend on schooling,i know what i want.
 
Kama umewakimbia walimu wa darasani usijali kuna mwalimu mmoja nzuri sana utakutana nae anaitwa Dunia atakufurahisha Kama umewashindwa shule huyo hakwepeki lazima lazima ukumbane nae taka usitake.
 
makitu kama haya ndo yalikua yanamshangilia lowasa kinafiki alafu mwisho wa siku mkamtosa kwenye kura baada ya kupewa pulau

tunakudharau coz uliacha shule
 
Mashoga nao wanasemaga hivo hivo, eti hisia zao ziheshimiwe. Mko wengi endeleeni tu
 
Elimu inamchango mkubwa sana hata katika maisha yako ya kila siku na si lazima uje kuajiriwa..Labda ukose hiyo fursa kwa bahati mbaya lakin kama kulikuwa na fursa ya kupiga book ukaacha tena katika ngazi ya Sekondary hata mimi nazidi kukushangaa kwa maamuzi hayo..
Ila inawezekana yupo sahihi.Kwa sababu unaweza ukaumiza ada halafu hamna chochote mathalani cheti huna na kichwani hamna kitu vilevile.Bora ada ikaokolewa mtu akajichanganya huko anapotaka kwenda lakini atakuwa ni mpumbavu wa kwanza kama itakuwa ni uasi tu ameamua kufanya.
 
Back
Top Bottom