Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

kwa nini TBC, star tv , channel 10 inabeba Sana ccm
 
Huu ujinga wenu ndio maana Wachaga wamewafundisha adabu kwa vitendo mmekosa hata mbunge mmoja kwao na ni vyema mkazifunga ofisi za ccm kule na hawa kina Davis Mosha muwafukuze ccm maana ni mamluki tu wa Chadema.

Asante sana kiongozi wape vidonge vyao hao
 
W **** nn mbona usemi Chanel 10, star TV na TBC au unawashwa, wa2 tushavulugwa saiz na ayo matokeo yenu ya kisenge
 
Acha ujinga wewe ushawahi kujiuliza kwanini TBC inaegemea serikali na ccm?
 
l think Mengi ni team lowasa coz ukaskazini. Napendekeza ITV ibadili jina ianze kuitwa chadema TV
 
sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu?

Zima TV yako kisha uiwashe, fanya hivyo mara 3 itaonyesha CCM!
 
Back
Top Bottom