Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

BASHITE

Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
11
Reaction score
2
sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu?
 
Si uangalie TBC au StarTV kwani si ndio mlikuwa mnazifia sana juu ya zile habari zao za propaganda wakati ule wa kampeni sasa inakuwaje leo hii umehamia ITV?.
 
Weka CTN mkuu au DTV wao wako poa kabisa hawana kwikwi..au tafuta mkanda wa stelingi kipensi nao sio mbaya
 
Hujalazimishwa kuangalia Itv...acha tv ya wanyonge tujionee uhalisia...hamna jema nyie,mvua kwenu ni jua na jua kwenu ni mvua....mlitaka tukose hata kituo chakutufariji manyang'..au nyie msio na upendo.
 
Watu wasioneshe uhalisia unataka waonyeshe uongo kama ccm au
 
Mmiliki ni mchaga, na chadema ni chama cha wachaga

Huu ujinga wenu ndio maana Wachaga wamewafundisha adabu kwa vitendo mmekosa hata mbunge mmoja kwao na ni vyema mkazifunga ofisi za ccm kule na hawa kina Davis Mosha muwafukuze ccm maana ni mamluki tu wa Chadema.
 
Back
Top Bottom