Kwanini Islamic University haipo Central Admission System ya TCU?

Kwanini Islamic University haipo Central Admission System ya TCU?

MUM ipo under TCU ila haipo Cas only. Kwa maana wanachagua wenyw wanafunz kulingana na sifa elekezi za TCU alaf wanayatuma majina TCU.ndo maana wanafunzi wake pia ni wanufaika wa mkopo na wanalipia pia elfu 20 ya TCU.acheni imani potofu kwa kudhani MUM ni madrasa. Wale jamaa hawana huruma ktk masomo hamna degree ya chup pale wala hela. Struggle utapata chako. Wakristo husoma bila tatzo ila lazma sheria izingatiwe.

Ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri!!
 
Ni muda muafaka kwa UDSM na MUHAS nao kujitoa kwenye hiyo CAS ya TCU na siyo kusubiria mpaka watumiwe majina ndo wayakatae.
 
chuo kimuu cha ki Islam morogoro hakimo kwenye central admission system ya TCU kwanini ? nani ya nchi ambazo haina ubaguzi wa kid in? (
Usiwe mjinga wewe, ni LAZIMA watimizw masharti na vigezo, kama hawapo maana yake hawajatiA masharti.
 
Hakuna chuo kinachoitwa Chuo cha kiislamu cha morogoro bali kuna Chuo kikuu cha Waislamu cha Morogoro.

Chuo kipo Tcu ila hakipo ktk central admission system CAS.
 
Matusi ya nn mkuu
QUOTE="rodgers mbwana, post: 14956648, member: 327061"]Acha ujauzito wa mawazo wwee..... Nenda kama hujadisco wew.. Au uliza wanaosoma wakupe majibu.[/QUOTE]
nn
 
Ni muda muafaka kwa UDSM na MUHAS nao kujitoa kwenye hiyo CAS ya TCU na siyo kusubiria mpaka watumiwe majina ndo wayakatae.
Mali ya serikali ivyo sa kijitoa ni ndoto na haiwez tokea
 
Pale mum hakuna degree ya chupi asee, fitina za kipumbavu sijui leacturer anagombania manzi na mwanafunzi hakuna kitu kama hiyo... Pale nenda kapige kitabu tuu, upuuzi acha.... Mambo ya kuingia class umevaa chupi sijui pedo hamna pale ni kitabu tuu. Swala la udahili nadhani walizungumza na TCU wakakubaliana....

Nimesoma pale 2008-2011... Kama guantanamo mambo ya kipumbavu hawataki wale jamaa, pale ni kitabu tuu, nimemaliza na ndugu zangu wakristo wengi sana pale.....
 
TCU wanadahili academics , hiki cha dini ukishajua kupiga swala umekolifai shida iko wapi ?
Kwenye Central Admission System una vigezo vya kusomea Shahada ila huna vigezo vya kuimiliki.
 
MUM ipo under TCU ila haipo Cas only. Kwa maana wanachagua wenyw wanafunz kulingana na sifa elekezi za TCU alaf wanayatuma majina TCU.ndo maana wanafunzi wake pia ni wanufaika wa mkopo na wanalipia pia elfu 20 ya TCU.acheni imani potofu kwa kudhani MUM ni madrasa. Wale jamaa hawana huruma ktk masomo hamna degree ya chup pale wala hela. Struggle utapata chako. Wakristo husoma bila tatzo ila lazma sheria izingatiwe.

Mkuu wazingatie Sheria au sharia ?
 
Back
Top Bottom