Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

Shida moja kuu ya iran anafadhili makundi ya kigaidi hapo middle east Iran ni kama mwendawazimu anagawa silaha kwa makundi ya kigaidi alafu anawatuma wakavamie israel na meli za wazungu

Yaani Iran anawapiga wazungu kwa mkono wa vikundi vya wanamgambo so wazungu wanaona akifanikiwa kumiliki hayo mabomu hapo midle east ndio hapata tulia tena na hadi hao wanamgambo wanaweza miliki hzo silaha kabisa so ili kuepusha kufikia huko wanataka wamvunje hiyo nguvu kabisq
 
Uchambuzi famba sana
Hata pakistani ilikuwa hivo hivo walitaka kushambulia wakawekewa ndege za one way kwenda kufumua dimona mutuala assured destruction wakachill.
Shida ni Israel nchi zote zenye asili ya kiislamu au ambazo ni pro -palestina ni tishio kwa israel kwa maana siku moja zinaweza kuwasaidia wapalestina kwa kuwa israel anakalia hapo alipo kimabavu ilikuwa hivyo kwa Saddam hussein ambaye alikuwa hafadhili kundi lolote na imekuwa hivyo kwa Libya hivyo israel anafurahi akiwa yeye ndio mwenye nguvu kubwa ya kijeshi eneo hilo kuliko wenzake akitoa mbabe lazima atamletea visa vingi ili kujihakikishia usalama wake hivyo anapenda mataifa ambayo ni pro usa maana anayaweza kuyamudu ila mataifa yenye misimamo huru hayapendi hata kama hayana nguvu kuliko yeye mfano syria au algeria etc.
 
Naomba kuuliza ni kwanini Iran haruhusiwi kua na Nuclear? Wakati India, south africa, uk, russia, israel, pakistan, china nk wanazo!!! Kwanini Iran haruhusiwi?
Panga ni silaha ya kawaida Sana ukikutana na mtu kaibeba, wala hutarudi nyuma kwa hofu.
Ila ukimwona kichaa kabeba anakuja usawa wako hata Kama Hana habari na wewe sidhani Kama utasubiri akukaribie!
Dawa ni kuhakikisha vichaa hawabebi mapanga hata Kama hawakati watu.
 
Naam hili ndio jibu Shia hao
 
Iran baba lao lazima wambwele ...Ukiangalia hana shobo nao
 
Back
Top Bottom