Kwanini ipo hivi?

Kwanini ipo hivi?

Uzuri sio kigezo, shape hata mbuzi anayo.
Tabia itakuwa mbaya
 
wazuri mnajishebedua mkijua mnatakwa wengi.. c tulopinda sura ukikamatwa unashikilia mwanzo mwisho.
 
Uzuri sio kigezo, shape hata mbuzi anayo.
Tabia itakuwa mbaya

Halafu hii topic nimeikuta Instagram kwenye account ya "usipojipanganitakupanga"tena ameiscreen shoot hivi hivi,kweli JF ndio baba la habari Tanzania hii.
 
Mwalimu wangu wa kemia anitaka kimapenzi ameniambia atanioa kama nakikubala. Nimemkatalia alitaka kunibaka ofisini. nikakimbia. Naogopa kumwambia mama mkali sana sina urafiki nae kabisa.

Mwalimu amenusingizia kosa nimepewa barua nimwite mzazi, mpka sasa sijampa mama najua nikimpa akienda shule itakua balaa mana na yeye atanekandia sana kwa walimu na wanafunzu wenzangu wakati mimi sina makosa. Nifanye nin
i?.




Hivi kwanini wanaolewa hawana shepu wala sura. Mfano rafiki zangu sio wazuri wala nini lakini wanaolewa. Mimi nina shepu na sura nawashinda wote lakini mbona siolewi na sidumu na wanamme.

Wengne wasema nimelogwa eti inaweza kua kweli jamani.


Msada tafadhali.

Thanx for your advice.

Tupeane uzoefu huwa unapenda kufanya nini shule zikifungwa mpaka zikifunguliwa.

Tulia shuleni binti.
 
Wanaoolewa wote ni wazuri. Wewe bado hujaolewa mpaka sasa hivi kwa kuwa ni mbaya. Alafu kumbuka kizuri roho tu.
 
surely , you are not wife material yet kama bado unaona shepu na sura ndiyo vigezo vya kuolewa.
subiri ukue akili ndiyo uulize tena swal vizuri.
 
Back
Top Bottom