Hivi kwanini wanaolewa hawana shepu wala sura. Mfano rafiki zangu sio wazuri wala nini lakini wanaolewa. Mimi nina shepu na sura nawashinda wote lakini mbona siolewi na sidumu na wanamme.
Wengne wasema nimelogwa eti inaweza kua kweli jamani.
Msada tafadhali.
Thanx for your advice.
wewe si umeanzisha mada kule ukijidai una bikra kumbe umeshatusuliwa siku nyingi umebaki tu na mashimo kama ya bulyanhulu
mkubalie mwalimu wako.wa chemistry amekuahid kukuoa tayari...kama shida ni kuolewa
Biashara matangazo! Naona unajaribu kutafuta 'kiki' ili mijanaume yenye tamaa ikufuate pm.
wewe si ndio umeanzisha thread kuwa ni mwanafunzi mama yako mkali na mwalimu wako wa kemia anataka kukubaka sasa mwanafunzi na kuolewa wapi na wapi
kwan wazr awaonekan ucon
Hajui kwamba we can view post zake zote. Hana jipya saana. Anatafuta kick
Labda umeshatumika sana