Kwanini ipo hivi?

hheeeeeee.....sasa wewe si unasoma shule sekondari...unataka kuolewa tena?
 
wewe si ndio umeanzisha thread kuwa ni mwanafunzi mama yako mkali na mwalimu wako wa kemia anataka kukubaka sasa mwanafunzi na kuolewa wapi na wapi
 

Labda umeshatumika sana
 
Mtoto wa Sekondari anacheza na akili za Bachelors, Masters , PhD humu😀

Sasa kama kaanzisha Mada anataka kubakwa na mwalimu wa kemia, mara yeye Bikra, mmh, smartphone imeleta wengi Jf
 

Wewe si bado dent? Na mwalimu wako wa chemistry anakutaka! Confusing!
 
hata kuandika hujui unataka kuolewa shwainiii
 
We mwafunzi hujielewei! Hacha kutufanya wanafunzi, ujinga wako pelela fb na si hapa
 

Wewe utakuwa na madhaifu fulani yasiyowavutia wanaume halafu mbaya zaidi unadhani hayaonekani kwa sababu hata hiyo mentality tu ya kusema kuwa umewashinda marafiki zako kwa shepu na sura, ni dalili kuwa unajishindanisha nao quietly kwa sababu moyoni mwako, deep inside, unaamini uko weak na hivyo umejisuround na watu unaoamini wako dhaifu kuliko wewe ili wasikushinde na ung'ae alone.
Wanaume unaokutana nao hawadumu na wewe kwa sababu ya huo udhaifu ulio nao na wewe kutokuwa tayari kuubadili kwa kiburi kuwa wewe ni mzuri, unatoka familia fulani kiuwezo, unatongozwa sana na wanaume n.k
Pia inawezekana udhaifu ulionao haurekebishiki kwa kuwa ni wa kimaumbile n.k lakini hutaki kuamini kuwa ni tatizo.
Usikate tamaa, Jichunguze ujirekebishe uone kitakachotokea. Wanaume wanapenda mwanamke mpole, mkarimu, muelewa asie na complications, ambae wanaweza kujenga nae familia.
Kama Nitakuwa Nimekosea ama kukukwaza, Nisamehe!
 
Nilitegemea kuona picha yako labda na rafiki zako.kama wawili ili tuone kama unasema kweli lkn kwa hapa ni shida
 
We umejuaje we mzuri,uzuri wa mtu upo kwa anaempenda, take that note
 
hahahah tena nikijua una jiona ni mzur nakuacha aje wazur wwenzako wakuoee upo wee mtumzima ovyooooooooooooooooo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…