Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Tatizo mtoa post ameandika kishabiki. Eti 99% ya watz wako fb na 93% wanamlilia...
Ameandika kama mtafiti mwenye takwimu kumbe hamna lolote,by the way watz wenye simu za kuingia fb sidhani hata nusu yetu wanafika na stories nyingi za fb ni za uongo na ni kweli fb wengi ni vilaza,great thinkers wapo ila wachache.
 
Huko fb na insta wanakoshinda wabinua makalio,mashoga na wadangaji ndio unajengea hoja?

Mitandao yote ya watu kujenga hoja na kutetea isiyo na picha kama jf huwezi kuta vilaza wengi huku kuna watu wanaotumia ubongo zaidi kuliko hisia
 
Back
Top Bottom