Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,396
- 18,203
Barnaba aliye andika injiri ya barnaba sio barnaba mwenza wa Paulo mtume.
Injiri ya barnaba iliandikwa na barnaba feki
Injiri ya barnaba iliandikwa na barnaba feki
Ndo sababu ilo pelekea wakam- crussified pale msalabani mkuuLabda aliandika uhusiano wa Yesu na Maria makdalena , ila kuna siku Yesu alikuwa anacheza na watoto wenzie akarusha jiwe juu likamwangukia utosini mtoto akafa .


Haya ni malalamiko ambayo hayana msingi kwenye mada hii, ebu jaribu kuzungumzia kilichopo mezani , usiwe kipanga kila jambo kudandia , mambo ya QURAN nimazito uyawezi kama unajiamini fungua uzi wako nitag nitafika huko bila wasiwasi wowote, leo ni barnaba tu kwanini amuitumii injili aliyoandika yeye?



oyaaa mbna unambana sana mshikaji ?Huenda yote aliyoyasema barnaba yapo kwny quran.Qurani ndio imeitelekeza Injiri ya Barnaba.
Ina vitabu vyote vya dini isipokuwa hicho.
Kwa ninvyojua mimiMkuu hii sio hoja hata Daniel hakuandika kitabu cha Daniel wala waebrania hakikuandikwa na Paulo na hata kitabu cha mwanzo kimeandikwa kipindi waisrael wapo uhamishoni huko babylon hivyo hoja ingekuwa kwenye source zake muandishi ila tarehe na uandishi 70% ya Biblia haikuandikwa na manabii waliohusishwa na hivyo vitabu kama sio unaweza ukatusaidia nani muandishi wa wimbo ulio bora ambacho kimeandikwa miaka 200 baada ya suleiman kufa.... Au unaweza tusaidia muandishi wa mwanzo ambacho kimeandikwa zaidi ya miaka 600 baada ya musa kufa??
Ubarikiwe
NitumieInjiri ya Barnabas haijateketezwa na ipo mitaani inauzwa na wala haijapigwa marufuku na taasisi yoyote, kama kitabu cha Aya za Shetani.
Kama unaihitaji unaweza kuinunua na ukaisoma na kuifuata bila bigudha yoyote ile kama unaipenda.
Nina hard kopy niliiweka mahali na sijui kama bado ipo na sina softcopyNitumie
Injiri ya Barnaba inayosomwa na kusambazwa haikuandikwa na Barnaba msaidizi wa Paulo.Barnabas aliandika masimulizi aliyosikia kwa wengine baada ya miaka mingi sana baada ya yesu. Masimulizi yake yalikuwa ya copy and paste ya injili zilizotangulia huku wakati mwengine akifanya makosa Maandiko ya Barnabas yaliktokea zaidi ya miaka 1000 tangu maandiko ya tabibu Luka ambaye ndiye aliyeandika injili ya mwisho naye akitumia masimulizi aliyosikia.
Kama niniHuenda yote aliyoyasema barnaba yapo kwny quran.
Ukishaona kitabu kinalazimisha eti "Muhammad in Bible" jua kimeandikwa na wa-Muhammad kuwavuruga wa Yesu.Hii ni hardcopy iliyotafsiriwa kutoka kiitaliano had kiingereza,kiukweli kuna baadhi ya sehemu hii injili inapingana mbali kabisa kitaarifa pamoja na injili nyingine tunazozifahamuView attachment 2949970View attachment 2949971
View attachment 2949973View attachment 2949974
Mtu asiyejua kusoma wala kuandika iwezeshwa kuandika?Hapo zamani za kale, kuna mtume mmoja alitokewa na kiumbe asichokijua, kwenye pango, na bila ya kujitambulisha kwamba kiumbe hicho ni kiumbe gani. Ghafla kikamkaba Koo na kumwambia " SOMA "
Utofauti wa funga unaingilianaje na Qur'an na Qur'an ya mashia na suni imetofautiana niniHiyo ni mada mpya.
Kwasasa tunajadili injiri ya Barnaba.
Hata Qurani inayotumiwa na
Wa-Suni na Wa-Shia zinatofautiana.
Ndio mana hawa wanafunga Ramadhani leo na wengine kesho yake.
Leo tunajadili kwanza umuhimu wa Injiri ya Barnaba.
Ukitaka kwingine anzisha mada yake maalum.
Kuleta mada nyingine ni kushindwa hoja ya msingi.
Injiri ya Barnaba Sio Injiri ya Kristo na haiendani na Theolojia ya Kristo hivyo haina mashiko kwa Wakristo.
Machache kati ya hayo ni kwamba.
-Mwandishi wake alikuwa na uelewa mdogo sana kuhusu jiografia ya Upalestina.
-Katika sura ya 99:21 mwandishi anaeleza alipanda kwa miguu kuelekea kijiji cha Kapernaumu, wakati kijiji hicho kipo zaidi ya mita 200 chini ya usawa wa bahari.
-katika sura ya 100 mwandishi anaeleza kuwa Yesu Kristo alienda Nazareti kwa mashua wakati kijiji hicho kipo mita 500 juu ya usawa wa bahari,
-Katika sura ya 151 anasema pia kuwa Yesu alienda Yerusalemu kwa mashua ukiangalia ramani inapingana na huo usemi.
-Barnaba ndiye pekee aliyeandika kuwa Mamajusi waliompelekea zawadi mtoto Yesu, walikuwa watu watatu tu, tofauti na Injiri ya Yesu ambayo haijataja idadi ya Mamajusi bali imetaja idadi ya zawadi tatu walizopeleka (uvumba, manemane na dhahabu)
-Katika sura 40:41 Barnaba analitaja jina la tunda la mti wa mema na mabaya kuwa ni tunda la Tofaa, lile alilokula Hawa ktk bustani ya Edeni, wakati kitabu cha mwanzo na Biblia kwa ujumla ambayo ndiyo chanzo pekee cha habari hii, haijataja popote jina la tunda la Tufaa ktk maelezo yake.
-Katika sura ya 54 Barnaba ameitaja Dinari kuwa ina Minuti 60, bila kujua kuwa Minuti ilikuwa fedha ya Uhispania iliyoanza kutumika mwaka 685 baada ya Kristo wakati wa utawala wa Khalifa Abdul Malaki. Enzi za Yesu hiyo fedha haikuwepo.
- Katika sura ya 150 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo alizaliwa wakati wa utawala wa Pontio Pilato akiwa kiongozi, wakati ukweli ni kwamba utawala wa Pilato ulianza mwaka 26 na 27 baada ya Kristo kuzaliwa.
-Katika sura ya 97 Barnaba anamtaja Mtume Muhammad kuwa ni Masihi na Yesu anamwita Kristo bila kujua kuwa neno Kristo ni kwa Kigiriki na Masihi ni kwa Kiebrania yakiwa na maana moja.
-Katika sura ya 222 Barnaba anaeleza kuwa Yesu Kristo hakusulubiwa, aliondolewa na Malaika, kisha Yuda alisulubiwa badala yake.
-Katika sura ya 44 Barnaba anaeleza kuwa Ibrahimu alimtoa Ishmaeli awe sadaka katika madhabahu, na anamwita Mungu wa Ibrahimu, Ishmaeli na Yakobo, tofauti kabisa na Mwanzo 22.
-Katika sura ya 192 Barnaba anasema Mwishmaeli ndiye aliyeiandika Torati.
-Barnaba anamweka mtume Muhammadi kama mbadala wa Yesu kristo, angalia sura ya 44, 45, 9, 112, 39 na nyinginezo ktk kitabu hicho.
{ hii ndiyo injili mnayoipigania iwekwe kwenye Biblia takatifu ? }
Katika ukweli huu mchache nadhani wasomaji mmeelewa mlengo wa Injiri ya Barnaba wala sina haja ya kuwaambia.
Injiri iliyowekwa katika biblia inaeleza wazo moja (maudhui yanafanana) ingawa inatofautiana maneno kutokana na mazingira ya kila mwandishi alivyofunuliwa na Yesu mwenyewe, tofauti na Injiri ya Barnaba.
[ Ndio maana kuna msemaji mmoja hapo juu nimemwambia, kama anaihitaji Injiri ya Barnaba, inapatikana madukani, akainunue na kuitumia ]
Hapo zamani za kale, kuna mtume mmoja alitokewa na kiumbe asichokijua, kwenye pango, na bila ya kujitambulisha kwamba kiumbe hicho ni kiumbe gani. Ghafla kikamkaba Koo na kumwambia " SOMA "