sababu ni moja.
Video za simu na pc ni tofauti wakati network ni same
Video ya simu ya dk 3 ni kati ya mb3 hadi 5 kawaida wakati kwa pc maybe 12mb hadi 30 wakati speed unayopata ni ile ile.
solution kama pc inazingua we change quality ya video youtube click kwenye kialama cha setting pale kwenye player then zitatoka aina
Usually quality ya video youtube ni 360p na simu ni 240p so change iwe 240p then utaona quality inashuka na speed ya kustream inaongezeka