Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

wakati mwingine naonaga wanaume tunakosea sana,Yani kuna ile tayari tushajiekea ka uoga huyu ana PHD siwezi mfanya kitu so hata anapobisha huwa tunashindwa judge au debate kutokana na ule uoga wa ndani ambao tyr tunao.

Mimi sipogo ivyo kbsa mke msomi/mwanamke mzuri alieumbika/mwanamke mwenye pesa/tabia nzuri Ninapokua nae hua siangalii hayo na hata siku moja hatojua kua nimempendea elimu yake/pesa/uzuri/tabia yake hua najitiaga kipofu kbsaa..

Ukikosea nakuzabua kama kukupa likizo ya kuniona nakupa ya mwezi mzima hadi uhisi nimekuacha,yani adhabu ni zile heavy Heavy ukijumlisha na maneno yatayopenya hadi kwenye mifupa,yani naongea hadi lazima ajiulize hivi mimi nimesoma kweli,,hivi haoni uzuri wangu kweli,,hivi haoni tabia yangu nzuri kweli? yani maswali ya namna hiyo lazima atajiuliza itapotokea siku kancharua maana lazima atajiona taka taka.

ila tabia ya kuogopa wanawake kwa sababu ya uzuri/tabia nzuri/pesa/elimu,nk ukiamini hamna wa zaidi yake au ulimpata huyo kwa bahati mbaya Huo ndio ujinga na mwisho unageuzwa bushoke flani hivi.

Mwanamke sharti awe chini yangu uzuri wako shepu ka boga,elimu yako pelekesha hukoooo kwangu nikirudi home chakula hamna mezani Hiyo siku lazima ajione kaishia primary wakati ana phd.
Mungu aniepushe na mwanaume wa aina yako ( ulemwelezea hapo).
Sipendi mwanaume mwenye maneno au tumegombana halafu anitupie maneno.
Maana hata kama nampenda sintokaa nirudiane naye.
Na mimi pia huwa simrushii maneno mwanaume kabisa huwa na mute tuu, kama ni simu sipokei msg sijibu.
Maneno unayomzodoa nayo mpenzi wako usidhani yatafutika kirahisi kwenye akili yake, kila akiyakumbuka tuu lazima ataonesha kubadilika na mapenzi juu yako kupungua.
 
Usiongee hivyo kisa umeokota chungwa katikati ya limao ukaona wengine hawana akili jambo kama hilo ni bahati tu mkuu
Hapana boss ni kutokujiamini na kujishtukia
Unajua ukijijengea imani juu ya jambo flani basi wewe kila kitu atakachokifanya huyo mwanamke utaona kama unaonewa au kudharauliwa
Ni kwa sababu umeshatoka na mimawazo yako ya kijinga huko ulikotoka
Lakini kumbe simple tu
Utakuta jamaa amekuwa mkali na anabwata kisa eti hajawekewa maji ya kuoga!
Migogoro ipo tu hata kama hujaoa msomi ila sasa cha muhimu unaitatuaje hiyo migogoro?
 
Kuna mmoja nilitoa mahari kabisa. Siku moja akaanza" I have to stand for my rights " nikauliza your rights or our rights? My rights.na mastaz yake. Nikatupa kule. Akasema sasa naoa nna kazi na mshahara.Kwa hasira akakavamia kakijana kakampiga mimba sasa hivi ni kasingle Mama kanalea, dogo nae kaoa. 8 kati 10 waliooa wasomi wana stress. Feminism imeharibu dunia. Nordic countries wanaoa sana wageni .
Feminism ni mpango wa shetwani kuharibu familia. Wanaoendekeza feminism, wengi hawawezi kuishi kwenye ndoa, labda hizo harakati zake awe anaziacha mlangoni anapoingia nyumbani.

Vv
 
Hapo sasa
Uvumilivu hadi kwenye uzinzi?..
Men hold very high standards for themselves
Huwezi ukamsaliti akajua na ukabaki salama

Wanawake kuna point you have to say no..esp kwny gross misconduct km ya uzinzi ndani ya ndoa
Utakufa na maradhi ama utakua na roho butu utafurahia vipi ndoa na mtu anakusaliti
(Mungu katuumbia wivu mkali sana ke na me wote mapenzi sio ya kushare)
Ni kitu kibaya sana kwa mwanaune au mwanamke kutumia uwezo wake wa elimu au uchumi kama turufu ya kudai haki kwenye ndoa....ndoa haina usawa, ndoa ni heshima, kuheshimiana na kupendana tu, tena kwa pande zote-me na ke.

Vv
 
Mungu aniepushe na mwanaume wa aina yako ( ulemwelezea hapo).
Sipendi mwanaume mwenye maneno au tumegombana halafu anitupie maneno.
Maana hata kama nampenda sintokaa nirudiane naye.
Na mimi pia huwa simrushii maneno mwanaume kabisa huwa na mute tuu, kama ni simu sipokei msg sijibu.
Maneno unayomzodoa nayo mpenzi wako usidhani yatafutika kirahisi kwenye akili yake, kila akiyakumbuka tuu lazima ataonesha kubadilika na mapenzi juu yako kupungua.
AMEEN...

Nakuombea usimpate.
 
ukosee halafu uchague maneno ya kuambiwa au adhabu ya kupewa? weka bidiii ktk maombi umpate mume ukikosea haongei..anaongea neno 1 kamaliza Utampata wa aina hiyo only if YOU WILL PRAY ENOUGH ila si kirahisi kama ufikiriavyo.
 
Nitaomba. Bora nimpate wa kunipiga kwa makofi au mikanda lakini sio kwa maneno.
 
Back
Top Bottom