The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Wanauza mali zao wamfuate kristo kwani Yesu hakuwa na mali wala mahali pa kuweka kichwa chake.
Lakini wachungaji wao wanajilimbikizia mali na kuendekeza fahari za duniani tofauti na hekima za Bwana Yesu, sasa tumuamini nani?Wanauza mali zao wamfuate kristo kwani Yesu hakuwa na mali wala mahali pa kuweka kichwa chake.
Mkuu...Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?
Wakuu Habari!

ukisha okoka unatakiwa kusoma neno la Mungu na kulijua na kulifamyia kazi!!!PERIOD,,,ukishindwa hapo ni umaskini kwa kwenda mbeleLakini wachungaji wao wanajilimbikizia mali na kuendekeza fahari za duniani tofauti na hekima za Bwana Yesu, sasa tumuamini nani?
Unakutana na mchungaji hata kwenda supermarket anapelekwa kwa Helicopter....... Kweli!