Kwanini huyu na sio wewe

Kwanini huyu na sio wewe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,455
Reaction score
872,087
1443590054654.jpg1443590054654.jpgnjia za Mungu si za mwanadamu
 
kuna matajiri na masikini, kuna vilema na wazima
kuna mwanamke na mwanaume.
mungu amebalance huo ndio ukweli halisi hatuwez wote kuwa sawa.
hatuwez wote kuwa matajiri, hatuwez wote kuwa masikini
hatuwez wote kuwa wazima pasipo na vilema.. hiyo ni hali ya kawaida haupaswi kushangaa....
 
Njia za Mungu si za mwanadamu.
 
mshana jr, umenifanya machozi yanilengelenge. Kila nnapokutana na mwenye shida au ulemavu hua nafikiri hivi mimi nilimpa au kumfanyia Mungu kitu gani nikawa mzima tofauti na huyu mwenye ulemavu ndio hapo nakumbuka kwamba "Njia za Mungu si za mwanadamu"

Tumshukuru Mungu kwa kila fursa atupatiayo na kuthamini kile tulichonacho!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu maish ayako 65% yanaonekana ni picha. Kweli?
Totos Boss tunaishi kwenye Ulimwengu wa maumbo michoro na alama... Ndio maana hata wewe ukawa na hiyo avatar... Hili ni jambo la kiasili mno kwenye uumbaji
 
Last edited by a moderator:
Mungu alipoweka kila tuonacho alikuwa na sababu maalum.
Mkempia laiti tungejua thamani ya viungo vyetu tungevipiga picha ili siku vikitutoka tubaki na kumbukumbu
Wenye wazazi hawajui nini maana ya kukosa mzazi hasa mama....huwa tunakuwa na tafakuri hafifu kwenye mambo yanagusa hisia kwa kiwango cha juu mno
Hebu angalia picha hizi Halafu tujiulize kwanini wao na si wengine au sisi1443640424976.jpg1443640449825.jpg Mkempia natamani members wote wa JF wangefikiri zaidi ya kufikiri
 
Last edited by a moderator:
mshana jr, umenifanya machozi yanilengelenge. Kila nnapokutana na mwenye shida au ulemavu hua nafikiri hivi mimi nilimpa au kumfanyia Mungu kitu gani nikawa mzima tofauti na huyu mwenye ulemavu ndio hapo nakumbuka kwamba "Njia za Mungu si za mwanadamu"

Tumshukuru Mungu kwa kila fursa atupatiayo na kuthamini kile tulichonacho!

Nimejiuliza the same question last week badala yake nikasema alhamdulillah

Najua am not perfect lakini nimeshukuru na kukubali upungufu na madhaifu yangu
 
Last edited by a moderator:
Mungu alipoweka kila tuonacho alikuwa na sababu maalum.

Na hapo ndio ilipo haswa point ya mshana jr, kwa nini katika hizo sababu isiwe wewe ndio huyo mtoto au kwa nini wewe uwe na ulemavu wakati mwingine hana tatizo kama lako? Kumbuka kuna watu wanazaliwa hivyo, wengine wanapata ajali...lakini bado kwanini isiwe wewe kwenye hayo maswahibu?

Shukran mkuu
 
Truly GT Samaritan
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana.

Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika maisha yake ya kila siku na ya baadae
 
Back
Top Bottom