Kweli, Mbeya hadi raha.
Mbeya ni wagumu weusi asili
Ccm hawana pa kutokea,moto wa mabadiliko kila kona,mbeya ilikuwa ni balaa,musoma,tanga,mtwara,arusha,kagera,kigoma,tabora,iringa,geita,dah! Jumatatu ijayo mida kama i,kila kona ya nchi I itakuwa ni shangwe kubwa kwa wana ukawa
Wana Mbeya, kwanini uwanja huo unaitwa hilo jina na sifa zake kubwa ni zipi?
Hivi kuna kiongozi yeyote alitoka Mbeya kipindi cha kudai uhuru? Mbona Mbeya mnapenda mabadiliko zaidi hata ya Musoma kwa Nyerere?
Nawapenda sana wana Mbeya.