Kwanini humpendi

Kwanini humpendi

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Wakuu hbr za usiku ? Humpendi nani kwenye jukwaa hili? Na kwanini humpendi?
Binafsi simpendi kisu cha ngariba anadomo mchafu sana
 
mi nawapenda woote humu sababu kuna wengine wananielimisha wengine wananifurahisha kwa majibu yao na wengine wanahuzunisha
 
Mimi nawapenda wote sababu ya kuwapenda wote wananifunza,kuniburudisha na kunielimisha ila wengine wanahitaj msaada kwa majibu yao ila sina jinsi nawachukulia kama ni changamoto ya jukwaa
 
Mimi simpendi Mchumba .

Tangu atangaze humu jamvini kuwa ananifagilia, kila nikisaundisha mdada wa JF huko PM naishia kutolewa nduki tu.

Ameniharibia kwa kweli, mpaka imebidi niwe nashinda jukwaa la utambulisho kule kudaka wageni wageni ambao hawajazoea jamvi.
 
Siwapendi wale wanaodandia mada au kupindisha mada husika
 
Mimi nimeoza kwako tu, nikilala nakuwaza wewe nikila nakufikiria wewe nikilala nakuota wewe. Monicaaa wewe ndio asali wa moyo wangu ama ukinikataa utaidhulumu nafsi yangu.


Ndukiiiii
 
Sijawahi kufikiria kutokumpenda mtu humu jf kwan naona ni sehemu ya kubadilishana mawazo mwisho wa siku kila mtu anaendelea na maisha yake binafsi.
 
Hii serikali unaweza kulaani kwa nini ulizaliwa nchi hii. Lakini Mungu anawaona
 
Wakuu hbr za usiku ? Humpendi nani kwenye jukwaa hili? Na kwanini humpendi?
Binafsi simpendi kisu cha ngariba anadomo mchafu sana
Moniccca shikamoo
1478231718718.png
 
Hakuna nisiyempenda humu

Nahisi ndio mana nipo humu almost kila muda tangu nijiunge

Karibia kila member humu ana namna yake ambayo huwa ananifurahisha
Nami nakupenda
 
Ahahahaaaa....

Kuna kakinuka K kamoja hivi humu ka-Kiislamu kanasemaga eti hakanipendi.

Huwa nacheka sana maana hata kunijua hakanijui lakini hakanipendi😀😀😀😀.

Ila wote wanaosemaga hawanipendi ni ma fans wangu tu na ndo maana huwa hawapitwi kusoma posts zangu na kuanza kuitana 'flani...njoo uone alichoandika Ngabu'.
 
Back
Top Bottom