Kwanini hujikubali jinsi ulivyo?

Kwanini hujikubali jinsi ulivyo?

Uso ulivyomshuka Bi dada !
Na ndiyo maana kala kobis mpaka mida hii , chezeiya tahayuri weye!
Sasa sijui kalipwa kwa upasuakichwa ule?
Jibu tumuachie mwenyewe na afya ya akili yake.
 
Mpwa ngoja nipige kimya tu...ila kuna watu Mirembe inawahusu sana

Mkuu huyu binti yaako si alikuwa anamkataa Ladymasa siku zile?
Siku zile nilifuta comments nyingi nilizojibizana na huyu mtoto sasa nimeunga dot!! charminglady unamkumbuka huyu? nahisi ulivosoma comment yangu ndio ulipropose thread ile ifungwe!!!
Wapi Filipo aliyekuunga mkono kwa wazo la kufunga thread halafu mi wakati kichwa cha moto CC: Lady doctor na measkron mama yao!!!
 
Last edited by a moderator:
what happened then!!!!!!!

nilifikiria nikasema kwani namfurahisha nani this is ma life na naishi vile nitakavyo mm na sio watakavyo watu.
am happy the way iam and i work hard to be were i wanna be.
atakayeingia kwenye maisha yangu akubaliane na weakness zangu thats it
 
Heaven on Earth. Kam ths way
 
Last edited by a moderator:
nilifikiria nikasema kwani namfurahisha nani this is ma life na naishi vile nitakavyo mm na sio watakavyo watu.
am happy the way iam and i work hard to be were i wanna be.
atakayeingia kwenye maisha yangu akubaliane na weakness zangu thats it

I like this spirit my dear....maana mwisho wa siku its all about your life
nimeipenda for sure me I used to give UP easily baadae nikjiona ni mjinga sana
i
 
I like this spirit my dear....maana mwisho wa siku its all about your life
nimeipenda for sure me I used to give UP easily baadae nikjiona ni mjinga sana
i

Thats true ndo maana wanasema uoga wako nfo umaskini wako. Tuwe na roho ya uthubutu wa kujaribu
 
Lawyer kuna vituko aisee
mtu kujirestisha in Peace kweli kweli............

hili tukio nimelifuatilia weee, mh kumbe mambo ndivyo yalivyokuwa? walah huyu binti aliyejiua chit chat atakuwa ana matatizo..
so sad kwa kweli
 
Back
Top Bottom