Kwanini hivi??

Kwanini hivi??

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
Kuna watu wanapenda kupost mada wakisema kwa wanaume tu,au kwa wanawake tu!
Kwa tathmini niliyoifanya kwa muda sasa nimegundua ile jinsia ambayo haihusiki ndiyo huchangia sana hiyo thread kwanini hivi?
 
Kwa sababu mtu akiandika kwa wanaume tu lazima atawaponda wanawake, kwa hiyo ni defence mechanism !
 
Back
Top Bottom