Habari! Walimwengu.Kama
kusoma nimesoma lakini maisha yamekuw tofauti na mategemeo yangu!
Kiukweli, kazi imekua ngumu kupata,sina hela sina connections yoyote!.
Yani nadharaulika! Mpaka nimechoka,niliomaliza nao std 7,form 4&6
ndo nawanyenyekea kuwaomba msaada wa pesa,connections mpaka kazi
wananiahidi then wananpotezea!.Sitaki kumkufuru mungu au kuamini kuwa
nina mkosi au familia yetu sio ya kufanikiwa! Lakin hata kaz yoyote ya
kupata cha kujikimu tu! imeshindikana kuomba nimeomba mpaka kwa sauti ya
huruma lkn bado!.Mim ndio wakwanza na pekee kufika chuo kweny ukoo wetu
lkn sioneshi ahueni ili ndg wengine waige kwangu! Bali nimekuategemezi
kwao kwasababu wao washauzoea mtaa!.Nimechoka! Nimechoka!
Nimechoka!,nitajiajirije wakati hata buku ya vocha na usafiri
shida,nitalimaje wakati ndg wote wakulima na bado hatuna kitu.Imeniuma
sana mpaka nkaamua kuleta kilio changu kwenu ni pale; kwanza cv yangu
haina chochote zaidi ya wapi nilisoma kwasababu sijawah fanya kazi
kokote ni shule tu!,basi jana usiku nilipomwambia mdogo wangu mmoja
shida zangu anafanya kazi kweny kampuni moja hivi namuita mdogowangu
kwasababu nlimuacha shule(o'level) na anaelimu ya form four tu!
akaniambia "eti andaa cv yako vizuri' form 4 anamwambia mwenye
degree"afu akaingia mitini.dunia haiko fair kabsaa!!. Namuomba mungu
awazidishie muweze kunisaidia amina!. Kazi njema!
Habari! Walimwengu.
Kama kusoma nimesoma lakini maisha yamekuwa tofauti na mategemeo yangu! Kiukweli, kazi imekua ngumu kupata, sina hela sina connections yoyote!. Yani nadharaulika! Mpaka nimechoka, niliomaliza nao std 7, form 4&6 ndo nawanyenyekea kuwaomba msaada wa pesa, connections mpaka kazi wananiahidi then wananpotezea!
Sitaki kumkufuru mungu au kuamini kuwa nina mkosi au familia yetu sio ya kufanikiwa! Lakin hata kaz yoyote ya kupata cha kujikimu tu! imeshindikana kuomba nimeomba mpaka kwa sauti ya huruma lkn bado! Mim ndio wakwanza na pekee kufika chuo kwenye ukoo wetu lakini sioneshi ahueni ili ndg wengine waige kwangu! Bali nimekuategemezi kwao kwasababu wao washauzoea mtaa!.
Nimechoka! Nimechoka! Nimechoka!, nitajiajirije wakati hata buku ya vocha na usafiri shida, nitalimaje wakati ndugu wote wakulima na bado hatuna kitu. Imeniuma sana mpaka nkaamua kuleta kilio changu kwenu ni pale; kwanza cv yangu haina chochote zaidi ya wapi nilisoma kwasababu sijawah fanya kazi kokote ni shule tu!,basi jana usiku
Nilipomwambia mdogo wangu mmoja shida zangu anafanya kazi kweny kampuni moja hivi namuita mdogowangu kwasababu nlimuacha shule(o'level) na anaelimu ya form four tu! akaniambia "eti andaa cv yako vizuri' form 4 anamwambia mwenye degree"afu akaingia mitini.dunia haiko fair kabsaa!!. Namuomba mungu awazidishie muweze kunisaidia amina! Kazi njema!
Umesomea nini ndgu? Tatizo ni failure in career choice hasa kwa sisi watoto wa wakulima
Hivi unajua tofauti ya career na professional wewe?
Career choice = proper selection of academic program based on your job exposure
Professional = what obtained or pasuided ( including meeting it's criteria) , ni kwa uelewa wangu mfupi, waweza nipa darasa pia
Kwa mfano wewe ni Mwanasheria kitaaluma lakini unafanya biashara Kama shughuli yako ya kila siku.Sheria ni professional kwako na biashara ni career.Umeelewa bwana mdogo?
Career choice = proper selection of academic program based on your job exposure
Professional = what obtained or pasuided ( including meeting it's criteria) , ni kwa uelewa wangu mfupi, waweza nipa darasa pia
Kwa mfano Dr.Izack Maro wa kipindi cha njia panda Clauds redio.Udaktari ni professional yake lakini utangazaji ni career kwake au Tundu Lissu Law ni professional kwake, lakini siasa ni career(political career) Vice versa Prof Mwesiga Baregu siasa(Political science) ni professional kwake
Nimekuuliza umesoma nini? Nijibu na kama uko mwanza nitakutafuta
Samahani sana sina haja ya kujibishana na wanafunzi,toka mwanzo nilijua tu itakuwa ngumu sana kunielewa.We endelea kukariri hizo definition zako.
Mimi ni mwanafunzi sawa, sasa turudi kwenye mada husika, unamsaidiaje huyu ndgu?
Note, hii sio Facebook ni jamii forum, usioneshe udhaifu wako wa kitaaluma, wengine tumeelimika na tunahitaji kusaidia wahitaji, ndio maana tunauliza amesoma nini ili kama sio kumsaidia direct basi tumpe ushauri