Kwanini hivi jamani...

Ukame mbaya ndugu yangu dada aliona ndio bahati hiyo bora jamaa aje kumpunguzq machungu gheto kwake
 
Na alivosema ana kifua kama matikiti ya Moro

Kaka mshenzi yuleee...
 
Yani ni uongo wa kiwango cha lami
 
yaani yule kaka akili hana kabisaa

wanene tunakoma mbonaa..

ila hiki kitu si kweli aliamua tu kuchangamsha gengee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…