Kwanini hivi jamani...

Ila inategemea umeliwa vp jamani....mtu ukimla mwenzio ukamtapeli sio uungwana kuna watu hawana siri kbs anakuja na kumuadithia mtu mwingine wa humu.


Ukitaka kujua JF watu wana habari zako subiri uanzishiwe zogo.
 
Mazoea NO maana kujuana sana ndio kuharibiana CV

Wavulana wengi hawana akili, wanafikiri ndivyo sivyo, ukiwa mkarimu sana kwao wanawaza kitu kimoja tu 'kukugegeda' au wanafikiri unawataka. mpaka dakika hii nimekiri na nimeamini hakuna urafiki kati ya msichana na mvulana
 
Tena mm ndio usinisogelee kbs ntakuomba tu
 
enheee...umenena point kubwa sana dada rubii...
mtu mzima umkashifu mtu kisa ameliwa au umemla...?!!

au unamchukia mwenzio au kumkashifu kisa kaliwa au kala mtu wewe msafi kiasi gani au ulikua unataka uliwe weyeee...!!!

tujifunze kustiriana jamani

ukinila uchune...hata ukijua kama nimeliwa kaa kimya

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
ubabe ujinga sasa wewe kidume nani atakutaka tenaa...!!!

haya masuala huezi jua ukute mwenzio kashaopoa tena kichemchede unamuumbua tena si unamharibia sasa kwa mpya wake

sio poa jamani KUFUKULIANA MAKABURI..kama nna bwawa au kibamia chuna tuu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Hapa nimekuelewa sana yaani umakini unahitajika kwa matahira
 
Ukiina hivyo ujue mtu kala cha mbavu,kaachwa na bado ana machungu kabisa.
 
  • Hahaha safari ya kwa mkemia mkuu kwa members wa jf haswaa MMU haiepukiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…