Kwanini hivi jamani...

Haya mambo yanafanyikaga wapi?mbona me sijakutana na uzi wa kaliba kama hizi anazosema mtunzi na ukongwe wangu wote...
 
Siku nyingi kweli my dear, ukisikia naanzisha uzi baadaye wa talaka usishangae naona wanaume tumebadilishana nao jinsia siku hizi.
wee...ukae huko huko hakuna kuachika

vita dhidi ya wanaume haijawahi kutuacha salama...we komaa tu kulala wazi


sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
Ndiooo
 

Waliowahi kuprivate? Unajua wapo wangapi?

Watu sampuli yenu ndiyo mtaongea juu yangu haya maana tunaqoutiana Humu tu hamnijui japo 20%.

Na wanakusoma hapa wanakushangaa. Endeleeni kujimwaya mwaya na shoga ako.....
Sema ujue dunia ni sehemu ya ajabu sana, mnaweza mkaishia kuja kuwa wapenzi ninyi
 
Naona Geni leo umeamua.... Ha ha ha ha ha....... Tatizo moja tu... UTOTO.
 
Watu wengine wanatafuta cheap popularity. Hayo mambo ya kutangazana ni utoto wa miaka kadhaa iliyopita. Lazima utambue kila binadamu ana mapungufu yake. Vijana wa miaka ya sasa umama umewazid. Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha ha... Mzee mwenzangu tatizo moja tu.... UTOTO. Mtu mzima na akili zake anatangaza mambo kama hayo ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…