mimi kwa kweli naheshimu sana PMIla Mimi mkuu nimeshindwa kuelewa kitu Fulani hivi.
Baada ya kuufatilia huu Uzi vizuri.
Mbona watu wanaichukia tabia ya Ku expose mambo ya pm Ila still wana expose wanayokutana nayo huko pm.
Aiseeee.....! Au kuna ya kuwa exposed na yasioyotakiwa kuwa exposed.???
Kama mtu anaweza kuexpose kusema anasalimiwa deile
Mwingine anaexpose Fulani ana pua nyeupe
Mbona hapa naona ngoma droo.
Anyway we can't solve problem by the same level of thinking.
Umbea gani mnanishika? Wewe ndiyo mnafiki unashindwa kuonyesha unafiki Wa Daby.Another series.
Unafiki haujawahi kumwacha Mtu salama. Kwenye ule Uzi wa daby wa kujitetea niliona anajitetea kwa kutoa siri za watu za pm.
Halafu Leo anaandika upupu.
Ubuyu hahaha Leo naweka kijiwe hapa mtu anashikwa umbea.
Episode imeanza...
Absolutely...Hahahaa....such is life.
It's always someone else's fault and not yours.
Mzee naona umebananishwaUmbea gani mnanishika?
Siri zipi nilitoa au unaandika tu ilimradi umeandika? Kumwambia mtu fulani anakuja kujitetea nazo ni siri?
Humu wa kunibananisha wachache saana NN,Mzee naona umebananishwa
Humu wa kunibananisha wachache saana NN,
Wengine ni spoilers let them shout.
Mbona haukuandika kwamba "na Mimi nikamwambia Fulani na Fulani ni wanafiki sana"? Mbona hicho haukukiandika kwenye Uzi wako.?Umenifanya nikafuatilie convs zetu kisha nirudi. Ni kweli nilivujisha. Hizo zilikuwa tuhuma and JF public talk. Ukaniahidi mtetewa atajitokeza umeshakubaliana naye ila kumbe hatokei.
And I was not going to reveal that.
Niliongea vingi tu ikiwemo wanawake waliokuwa wananinafikia humu na ndicho kilichopelekea nikafungue uzi ili waje wathibitishe walichokuwa wanaongea kuhusu mimi.
Labda ndiyo hicho au kuna kingine maana sikutoka nje ya mada.
Unao uhuru wa kuuliza just go on
Mbona haukuandika kwamba "na Mimi nikamwambia Fulani na Fulani ni wanafiki sana"? Mbona hicho haukukiandika kwenye Uzi wako.?
Daby wewe na mbea na hiyo ndiyo fact.
Kwanza kumbuka Mimi nilikuja jf nikakuta tayari wewe ni MSHUTUMIWA na wala siyo kwa sababu yangu ulishutumiwa.
Aje asije haihusiani na wewe kutoa pm za siri na kwenda kuzipachika kwenye Uzi wako kutafuta huruma za wana jf..
Haya hizo huruma ulizipata?
Na Leo unaandika hapa utoko tuu.
" eti mvujisha siri na mvujishiwa wote matahira"
Ulikuwa na namna ya kujitetea bila kuanza kusema hata Fulani alisema hivi.. Pambana na hali yako ndiyo uanaume huo.
Huu Uzi una kuhusu wewe 100 percent.
Dada Gen asante..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo...@Shunie@MaseratiMbona haukuandika kwamba "na Mimi nikamwambia Fulani na Fulani ni wanafiki sana"? Mbona hicho haukukiandika kwenye Uzi wako.?
Daby wewe na mbea na hiyo ndiyo fact.
Kwanza kumbuka Mimi nilikuja jf nikakuta tayari wewe ni MSHUTUMIWA na wala siyo kwa sababu yangu ulishutumiwa.
Aje asije haihusiani na wewe kutoa pm za siri na kwenda kuzipachika kwenye Uzi wako kutafuta huruma za wana jf..
Haya hizo huruma ulizipata?
Na Leo unaandika hapa utoko tuu.
" eti mvujisha siri na mvujishiwa wote matahira"
Ulikuwa na namna ya kujitetea bila kuanza kusema hata Fulani alisema hivi.. Pambana na hali yako ndiyo uanaume huo.
Huu Uzi una kuhusu wewe 100 percent.
Dada Gen asante..
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ulitoa maana uliandika ulichoambiwa pm. Kingekuwa siyo siri angekuambia kwenye Uzi.Umbea gani mnanishika? Wewe ndiyo mnafiki unashindwa kuonyesha unafiki Wa Daby.
Siri zipi nilitoa au unaandika tu ilimradi umeandika? Kumwambia mtu fulani anakuja kujitetea nazo ni siri?
Kumbe uzi wa Daby uliusoma eeh. Haya msomaji wa Nyuzi zangu.
Mwaga maneno mamaSiri ulitoa maana uliandika ulichoambiwa pm. Kingekuwa siyo siri angekuambia kwenye Uzi.
Wewe ni sababu kubwa ya hayo mambo kutokuisha hadi Leo kwa sababu mods walifuta nyuzi zote wewe ukafukua mpya. Na ugomvi wa cute b na rubii ndiyo ulianzia pale.
Pata ukweli shushia na Pepsi.
hili halikuwa na maana kwenye kuweka sawa nilichoweka. Ni zamu yako kusema... na niwanafiki walininafikia kwangu lipo wazi.Mbona haukuandika kwamba "na Mimi nikamwambia Fulani na Fulani ni wanafiki sana"?
Daby ni mbeya kwa lipi? Labda kwa tafsiri yako akilini mwako na sio akilini mwangu. Pm nilikuita au uliniita? Nani mbeya kati yangu na wewe. Uliyeniletea taarifa za uongo au niliyesema ukweli.Mbona hicho haukukiandika kwenye Uzi wako.?
Daby wewe na mbea na hiyo ndiyo fact.
Nani kasema alishutumiwa kwa ajili yako. Ulikuja kusema mtuhumiwa atakuwa na press cha Ajabu hakutokea na watu walikuwa wanasubiri. Sasa huoni ulikuwa na cha kujibu? Ulitoa feedback gani baada ya mtuhumiwa kutokuja?Kwanza kumbuka Mimi nilikuja jf nikakuta tayari wewe ni MSHUTUMIWA na wala siyo kwa sababu yangu ulishutumiwa.
Aje asije haihusiani na wewe kutoa pm za siri na kwenda kuzipachika kwenye Uzi wako kutafuta huruma za wana jf..
Huruma za nani? Ili iweje? Kuna wa kunihurumia humu? Naona hauna pointi zaidi ya kulalamika kutajwa palipostahili wewe kutajwa.Haya hizo huruma ulizipata?
Na Leo unaandika hapa utoko tuu.
" eti mvujisha siri na mvujishiwa wote matahira"
namna ipi? Namna zako na namna zangu ni lazima ziwe sawa ili iweje? Na wewe una namna yako ya kujitetea jitetee.Ulikuwa na namna ya kujitetea bila kuanza kusema hata Fulani alisema hivi.. Pambana na hali yako ndiyo uanaume huo.
Huu Uzi una kuhusu wewe 100 percent.
Dada Gen asante..
Hii ni fallacy. Asante kwa kuqouteSiri ulitoa maana uliandika ulichoambiwa pm. Kingekuwa siyo siri angekuambia kwenye Uzi.
Wewe ni sababu kubwa ya hayo mambo kutokuisha hadi Leo kwa sababu mods walifuta nyuzi zote wewe ukafukua mpya. Na ugomvi wa cute b na rubii ndiyo ulianzia pale.
Pata ukweli shushia na Pepsi.
Huyu kaka ni mnafiki.