Kwanini hivi jamani...

Haya mambo ndio maana huwa napenda kuwa kimyakimya. Unafukuzia kimyakimya, unakamata kimyakimya, unakula kimyakimya na ikitokea hujakamata au kakimbia unabaki kimyakimya. Hizi mbwembwe za njooni muone ni za kifala sana na unaweza kosa vingi mbeleni.
umeona [emoji3] [emoji3] [emoji3] mtaka yote kwa pupa hukosa yoooteee

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Nyeusiii;afu ngozi ngumu kama magamba ya mamba.
 
Anakuwa hajafuata raha kafuata umbeya ili aje aumwage jf. [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
No further Comment, naungana na wewe kwenye kulaaani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Nyeusiii;afu ngozi ngumu kama magamba ya mamba.
Hahahahahaha na makalio yao yasiyopakwa mafuta, tako limepauka kama miguu ya mwendawazimu halafu anajifanya K fyoko fyoko lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…