Ndio mana sitaki marafiki.Siri hadi za ndani ya chupi.
Ndo tatzo la kuwa na marafiki wa nafikisha maana wengi ndo watoa siri
Chama linakuamini na linakutegemea katika kunadi Itikadi zake.Nimewaambia hawa dada zetu kama hawataki hii kadhia.. wanachama wetu wapo vizuri kuvujisha kwetu mwiko
Yani ban tu ndo inikimbize kweli? Bora ata ungeninyima k wala ninsingekimbia
usiombe yakukute bora msambaziane PM hukohuko tujuage wenyewe huku tunachorana kuliko hapa wanasoma watu wengiii...inaumizaaa
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Mi ata nikipewa uwa naunyuti tu shunie inabaki kuwa siri ya kojoleoSawa Antonio nitawambia kwani na nyie mkipewa papuchi ndio mtangaze jamaan kama umeachwa au mmeachana piga kimya tu maisha mengine yaendelee
Jaman jaman sisi weusi ndio mnatunanga hiviItakuwa shemela hujakutana na K nyeusi ndio maana.
Teh teh teh. Ila kuna mambo humu.
shemeji kama mtu mweusi unategemea uikute nyeupeItakuwa shemela hujakutana na K nyeusi ndio maana.
Teh teh teh. Ila kuna mambo humu.
wee dada nimekupenda!!!Kujifunza namna ya kuishi na watu .. dawa low profile akufukunyue asikupate vilivyo..
Usipoteze muda ukishaona rangi nyekundu.
Usipende kujadili wenzio kama wewe hupendi kujadiliwa ..
Acha kutaka kujua wanasema nini juu yako hayakuhusu.
Mtu akileta person issue kwenye jukwaa mfuate pm mweleze hutaki shobo za kisengerema...
Akijadili person issue hakuna haja ya kujibu ni kumuignore tu akiendelea mtie kwenye ignore list usione na wala asikuone..
Maisha mafupi sana dili na maisha yako hayamuhusu mtu ishi utakavyo na si kama watavyo.. huwezi ridhisha dunia but play your part .
Alafu tatzo lako unalijua ambalo kila mara nakuambia ila umegoma kutimizaAntonio
nyeusiij
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Mmekupenda piawee dada nimekupenda!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Itakua ni pinki iyonyeusiij
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Kati ya wale wote watoa siri hakuna muelewa pale. Mi nawaona hamnazo.