Kwanini hivi jamani...

Mmh. Hayo yataingia na kutoka. Kwani kuna wengine ndio hulka zao na hawajui kunyamaza.

Ila huwa nachukia sana na kuona aibu pia hasa pale ninapoona watu wanatoleana siri hadi za ndani ya mwili.
 
Ahsante kwa Kukiwakilisha Vyema Chama na kwa kukitetea.

Nafasi ya Itikadi Na Uenezi bado inakuhusu. [emoji28]
 
Kweli kabisa kaka siku zote ndege wafanano huruka pamoja na ndicho nilichokielewa na kukiona hata mimi.

Ila ni tabia mbaya sana.
 
Lipipa au umbo kama Tangawizi au ramani ya Afrika. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ya ramani ya Asia

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Ahsante kwa Kukiwakilisha Vyema Chama na kwa kukitetea.

Nafasi ya Itikadi Na Uenezi bado inakuhusu. [emoji28]
Nimewaambia hawa dada zetu kama hawataki hii kadhia.. wanachama wetu wapo vizuri kuvujisha kwetu mwiko
 
Mmh. Hayo yataingia na kutoka. Kwani kuna wengine ndio hulka zao na hawajui kunyamaza.

Ila huwa nachukia sana na kuona aibu pia hasa pale ninapoona watu wanatoleana siri hadi za ndani ya mwili.
usiombe yakukute bora msambaziane PM hukohuko tujuage wenyewe huku tunachorana kuliko hapa wanasoma watu wengiii...inaumizaaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…