Kwanini hili jambo ni la kisirisiri!???

ZeTicha

Member
Jan 20, 2012
80
2
Wadau kama mjuavyo walimu tumepata ajira tulizozisotea kwa takriban miez 6,
suala la hela ya kujikimu limekua ni siri kubwa, ukienda halmashauri, ukiomba waraka unaonekana "NUKSI", ivi kwanini hili jambo n la siri mno???
Haki yetu kupata taarifa, sio kama waajiriwa lakn pia km waTZ, Inakuaje jaman? Daah!
"walimu tuna hali ngumu"
 
"Ualimu ni wito nenda huko ulikopangiwa"
 
Kivipi bado? Ina mana mmepanga kutukomesha zaidi ya hapo senetor?

hapo ndo kuna ulaji kwa wakurugenzi na ma'afsa Elimu,ngoja uone kipindi cha posho za kujikimu,kila mahalh WALIMU MTAANDAMANA,MTAPEWA KIDOGOKIDOGO na nyingne hamtapewa
 
Yaani mkubwa kama ulikuwepo vile! wanaziiingiza kwenye mabenki na kutengeneza faida.Hata hili la walimu hewa au wafanyakazi hewa wakurugenzi wanahusika maana kuna watu kibao waliacha kazi kwa kufuata utartibu lakini bado salary slip zinatoka lakini wao hawapati mshko,unaashia wwapi si kama kwa mkurugenzi?
 
Huo uchafu wa hao mabwana wakubwa naujua,mi nipo kwenye hyo tasnia ya ualim,so wanachofanya ni kujifanya kusema fungu halijatoka hazina,ila mkurugenz anawasaidia tu,CHEZA NA SERIKAL LETU
Yaani mkubwa kama ulikuwepo vile! wanaziiingiza kwenye mabenki na kutengeneza faida.Hata hili la walimu hewa au wafanyakazi hewa wakurugenzi wanahusika maana kuna watu kibao waliacha kazi kwa kufuata utartibu lakini bado salary slip zinatoka lakini wao hawapati mshko,unaashia wwapi si kama kwa mkurugenzi?
 
hapo ndo kuna ulaji kwa wakurugenzi na ma'afsa Elimu,ngoja uone kipindi cha posho za kujikimu,kila mahalh WALIMU MTAANDAMANA,MTAPEWA KIDOGOKIDOGO na nyingne hamtapewa

Kuhitimu ualimu maana yake ni kuhitimu mafunzo ya umaskini.Ndo maana ya kwenda BTP, sasa unalalamika nini? jikaze subiri mpaka 2015 mtapewa kazi ya kusimamia uchaguzi na NEC,ndo posho pekee ya ualimu. Hakikisheni CCM inashinda tena ili madai yetu yaendelee kuwa malimbikizo.
 
pole sana,maskini ni nani?na anatambulika kwa vgezo gani?ukishanambia rudi kwenye mada
 
Kuhitimu ualimu si kuhitimu umaskini, kama una research evdenc ntakubali!
Jambo la kujuzana n kwanini hili jambo n la siri mno?
 
Wadau kama mjuavyo walimu tumepata ajira tulizozisotea kwa takriban miez 6,
suala la hela ya kujikimu limekua ni siri kubwa, ukienda halmashauri, ukiomba waraka unaonekana "NUKSI", ivi kwanini hili jambo n la siri mno???
Haki yetu kupata taarifa, sio kama waajiriwa lakn pia km waTZ, Inakuaje jaman? Daah!
"walimu tuna hali ngumu"
poleni sana walimu,lakini nchi hii ndo ilivyo!wakubwa wanabeba wanatia kwenye mifuko yao!kuwa kama sisi wanasheria!
 
Neno zito hili ndugu! Hivi waalimu mlivyo wengi tz mkitunisha msuli kuwa mpewe haki yenu la sivyo CCM hamuichagui itakuwaje? Msimtegemee Mkoba, anakula pepo akingojea viti maalum vya wanaume nae akwae uwaziri!
Hakikisheni CCM inashinda tena ili madai yetu yaendelee kuwa malimbikizo.
 
Kuhitimu ualimu si kuhitimu umaskini, kama una research evdenc ntakubali!
Jambo la kujuzana n kwanini hili jambo n la siri mno?

nadhan huyu mdau alosema ualim ni umaskini ana narrow mind,siamini katika hli,yaani mtu awe na shahada then ashangaeshangae?duh
 
Neno zito hili ndugu! Hivi waalimu mlivyo wengi tz mkitunisha msuli kuwa mpewe haki yenu la sivyo CCM hamuichagui itakuwaje? Msimtegemee Mkoba, anakula pepo akingojea viti maalum vya wanaume nae akwae uwaziri!

Hivi si ndio ww umesema mwl mpya umepangiwa Tandahimba? Ukaomba mbadilishe na mtu wa Makongolosi Chunya Mbeya ili uufuate mchuchu wako? Inakuaje leo unaandika kitu cha namna hii? Watu tuna kumbukukumbu nzuri hebu kanusha kauli hii
 
Hivi si ndio ww umesema mwl mpya umepangiwa Tandahimba? Ukaomba mbadilishe na mtu wa Makolosi ili uufuate mchuchu wako? Inakuaje leo unaandika kitu cha namna hii? Watu tuna kumbukukumbu nzuri hebu kanusha kauli hii

mkuu umeona watu walivyo wapuuzi.
 
mkuu umeona watu walivyo wapuuzi.

Mkuu huu ni upuuzi bila shaka kwa sababu mtu yupo Chuoni kibaya analeta dharau au anadharau kazi ya ualimu wakati huo huo nmemkuta sehemu kua anasema atamaliza Chuo mwaka huu kwa hyo anaomba pa kujishikiza tena huyo huyo anaponda ualimu hovyo kabisa
 
Laurence, vjana waliopo chuo nw n haki yao kudharau baadh ya v2,kwakuwa wanaish kw "expectation" n vema ila "street university" haina course outline wala final...akil kumkchwa.
Nikirud kwenye "uzi" n kwel km mdau alvosema n "lazma walimu 2shkamane"
na kuepusha maneno bila vtendo, wale walimu wapya waliopangwa wilaya ya kinondoni, tutafutane, tuanze na kuupata "waraka mpya"
my e-mail: madenge86@yahoo.com
 
Back
Top Bottom