Kwanini hili gazeti limchafue Diamond kiasi hiki?

Tukiweka ushabiki pembeni sioni kosa la gazeti, kichwa cha habari kinasema HIVI NDIVYO UKIMWI UNAVYOWAMALIZA MASTAA, ikawekwa picha ya Diamond na watu aliotoka nao na hao aliotoka nao wana kamba yao kiufupi walitaka kuonesha jinsi wanavyokulana wenyewe kwa wenyewe kwa hiyo kama ikitokea mmoja akanasa basi vinasambaa kwa kasi ya 4g.
 
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?

I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.

Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
Sasa Domo kambandua UWOYA unategemea nini? Unajua Uwoya alitembea na nani mwenye nyanya ambaye kashafariki? Na ukiangalia jamaa anavyotembeza rungu ni wazi kashajikataa kabisa hajali kabisa afya yake maybe kashajua status ndio maana he doesnt care....Shiongo mambo ya udaku yupo vizuri sidhani kama kamsingizia kashapata info ndio maana kaandika.
 
Ukifuatilia iyo habari kaandika nani utakuta wameandika na "mwandishi wetu"...... Huwa sisomi kamwe habari izi maana nyingi ni uongo..... Huu ujanja alinifundisha mjomba wangu
Tangu niko darasa la kwanza hadi leo namtafuta sana " mwandishi wetu" ila sijawahi kumpata hadi leo😂
 
Hayo magazeti hata mama muuza vitumbua akinifungua vitumbua humo ntavichuka na kuvitula mtaroni. Siwezi kula vitumbua vilivyofungiwa kwenye haya magazeti.
 
L
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?

I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.

Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
Muandishi amekuzidi sana akiri, hapo utampelekaje mahakamani wakati ametoa tu mfano wa mtandao ambao unaweza kusababisha Ukimwi au Kuna sehemu amesema Jinsi Diamond anavyoambukiza ukimwi!?
 
Shigongo huyo.Na anavyojifanya ni mtakatifu wakati riziki yake inatokana na kuchafua watu na magazeti yake ya udaku
Eti Mlokole anapata pesa kwa magazeti machafu na tabia mbaya sana! Yeye ana wangapi au kwa kuwa anafanya gizani. Tuanzia kwa yule mzungu wake wa mwanzo aliyempa maisha!
 
Back
Top Bottom