Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
Unafahamu tofauti ya "Libel na Slander" ?Kwani Kwenye Hilo Gazeti Diamond Katajwa? Maana Mimi Naona Picha Tu
Hapo huna kesi ya kumsukuma ndani MTU in kesi za madai tuu.mm ingesukuma ndani wote
Kwan uongo ?Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
Magazeti mengi bongo asilimia 90 yanaandika uongo uliopitiliza niliacha kusoma hayo magazeti muda mrefi sanaMimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
1.jiweKwa sasa Baada ya Mh. Rais Na Chama Cha Mapinduzi huenda Diamond anafuata Kwa Umaarufu
Mnazungumzia umaarufu gani? Hivi hata huyo Rais anajulikana Mayote kama Diamond?1.jiwe
2.lowassa
3.lissu
4.mbowe
5.Diamond