Kwanini hili gazeti limchafue Diamond kiasi hiki?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,948
18,648
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?

I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.

Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.
Screenshot_20181209-091019_Instagram.jpg
 
Kwani Kwenye Hilo Gazeti Diamond Katajwa? Maana Mimi Naona Picha Tu
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?

I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.

Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
 
Kwan uongo ?
 
Magazeti mengi bongo asilimia 90 yanaandika uongo uliopitiliza niliacha kusoma hayo magazeti muda mrefi sana
 
Mkuu nakupa means ya kutoka kimaisha, nenda mahakamani kalishitaki hilo gazeti hakika hutotoka kapa
 
Ukifuatilia iyo habari kaandika nani utakuta wameandika na "mwandishi wetu"...... Huwa sisomi kamwe habari izi maana nyingi ni uongo..... Huu ujanja alinifundisha mjomba wangu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom