Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,948
- 18,648
Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.