Kwanini Hii Inatokea?

Kwanini Hii Inatokea?

Stahmy Junior

Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
82
Reaction score
16
Kwa sisi Wanaume ukiwa na pesa una uwezo wa kujenga penzi la dhati na mwanamke yeyote awe tajiri au masikini. Ila Wanawake wengi wenye Pesa hawana Penzi la dhati kwa wanaume Masikini.
 
^^
Kwa sababu mwanamke anatafuta atakaemzidi mume atakaejivunia mbele ya rafiki zake,,na huyu ni yule ambae ama amemzidi kipato au basi hata hela huna uwe handsome kidogo eti! Au kitandani ujiweze
Sasa unakuwa masikiniii hafu sura yenyewe ka katuni..kwani we Himidini?
Karibu mtaani Mkuu tuzisake..walishasema Hapendwi mtu inapendwa pesa
^^
 
inategemea umaskini wako ukoje.wengine maskini pesa ,kitandani hadi sura hata mawazo a anataka kuwa nani hana unamsaidiaje huyo
 
^^
Kwa sababu mwanamke anatafuta atakaemzidi mume atakaejivunia mbele ya rafiki zake,,na huyu ni yule ambae ama amemzidi kipato au basi hata hela huna uwe handsome kidogo eti! Au kitandani ujiweze
Sasa unakuwa masikiniii hafu sura yenyewe ka katuni..kwani we Himidini?
Karibu mtaani Mkuu tuzisake..walishasema Hapendwi mtu inapendwa pesa
^^

Sawa kabisa........pesa huna.......mvuto huna.......mawazo mgando........kitandani goigoi.......tchaaaaaa........mtu akusaidieje.........
 
Preta yaani usiombe kukosa yote..utaishia kula kwa mvuke
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Kwa sababu mwanamke anatafuta atakaemzidi mume atakaejivunia mbele ya rafiki zake,,na huyu ni yule ambae ama amemzidi kipato au basi hata hela huna uwe handsome kidogo eti! Au kitandani ujiweze
Sasa unakuwa masikiniii hafu sura yenyewe ka katuni..kwani we Himidini?
Karibu mtaani Mkuu tuzisake..walishasema Hapendwi mtu inapendwa pesa
^^

Shukrani kwa kunifungua umenena mkuu
 
Kwa sisi Wanaume ukiwa na pesa una uwezo wa kujenga penzi la dhati na mwanamke yeyote awe tajiri au masikini. Ila Wanawake wengi wenye Pesa hawana Penzi la dhati kwa wanaume Masikini.

Mwanaume asiye kuwa na pesa ni MZIGO. Sasa kuna mwanamke anayetaka kubeba mzigo?
 
Kwa sisi Wanaume ukiwa na pesa una uwezo wa kujenga penzi la dhati na mwanamke yeyote awe tajiri au masikini. Ila Wanawake wengi wenye Pesa hawana Penzi la dhati kwa wanaume Masikini.

subiri hizo pesa ziishe ndo ujue kama hilo penzi ulikolijenga ni la dhati au ni la pesa
 
Ukiona mwanamke anaweka pesa mbele kwenye kila kitu basi ujue huyo ni Kicheche............
 
Back
Top Bottom