Mie nina jibu la ukweli ila kwa sharti la kwanza kwako Mbuzi mzee...ebu badilisha avatar yako iwe mbuzi ya kukuna nazi (yaani uwe mbuzi mzee cha kukuna nazi)....Jibu lake hutakubaliana nalo
Nadhani imeitwa mbuzi kwa sabau ina tabia za mbuzi mnyama, inabadilisha vitu vizima kuwa punje punje kama afanyavyo mnyama mbuzi anakula majani anakunya punje punje